(Sung in Swahili)

Nimejifunza kudhiliwa, na kufanikiwa (I have have been humbled, and I have seen success)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)
Ninajua kushiba, na kuona njaa (I have been full, and have been hungry)

Acha upepo nao uvume (Let the storms rage)
Mimi nitakuabudu wewe (I will still worship You)
Chanzo cha uhai wangu, nakuabudu (The source of my Life, I worship You)
Acha giza nalo litande (Let the darkness )
Mimi nitakuabudu wewe (I will worship You)
Chanzo cha uhai wangu, Yesu nakuabudu (The source of my Life, I worship You)

Nimejifunza kudhiliwa, na kufanikiwa ( have have been humbled, and I have seen success)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)
Ninajua kushiba, na kuona njaa (I have been full, and have been hungry)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)

Ninajua kupendwa, na kukataliwa (I have known love and rejection)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)
Naujua udhaifu, na kuona afya (I have known weakness and health)
Katika yote, wewe bado Mungu (In the midst of all, You remain God)

Acha upepo nao uvume (Let the storms rage)
Mimi nitakuabudu wewe (I will still worship You)
Chanzo cha uhai wangu, nakuabudu (The source of my Life, I worship You)

Nakuabudu, nakuabudu! (I worship You, I worship You!)
Wewe ni chanzo cha uhai wangu (The source of my Life, I worship You) (x2)
Nakuinua, nakuinua! (I lift You up, I lift You high)
Wewe ni chanzo cha uhai wangu (The source of my Life, I worship You) (Repeat)

Hallelujah, Hallelujah!
Wewe ni chanzo cha uhai wangu (The source of my Life, I worship You) (Repeat)

Ninajua kupendwa, na kukataliwa
Katika yote, wewe bado Mungu
Naujua udhaifu, na kuona afya
Katika yote, wewe bado Mungu

Advertisement