(Sung in Swahili)

Ee Baba yangu naja mbele zako, naomba amani
(Oh my Father I come before you, I’m praying for peace)
Maana nimeitafuta amani, lakini sipati
(Because I have searched for it, But I can’t get it)
Nizungukapo na majaribu mbalimbali, ninakuamini
(When I go through different temptations, I believe you)
Ya kwamba nikulilia wewe, tanipa amani
(That if I cry unto you, you’ll grant me peace)
Mali na nyumba na magari makubwa, hayana amani
(Wealth, houses and big cars, they don’t have peace)
Yananipa kusononeka kwa moyo, naomba amani
(They give me worries, so I pray for peace)
Nanyenyekea mbele zako Mungu wangu, naomba amani
(I humble myself before you my God, And pray for peace)
Na sina shaka wewe utanipa, nina shauku
(I have no doubt that you will grant me, I have faith)

Chorus:
Baba utizame moyo wangu, nipe amani
(Father search my heart, and grant me peace) x4

Wakati mume amekuwa kigeugegu, mama usilie
(When your husband has turned on you, Mother don’t cry)
Maana Yesu hatakugeuka, yeye akupenda
(Because Jesus will never turn on you, he loves you)
Licha na uchungu uliyo nayo moyoni, mtizame Baba
(Despite the pain you have in your heart, look unto God)
Mwambie yote utakayo atimize, yeye akujali
(Tell him everything you need, He cares for you)
Ulezi wa wana hata elimu, yeye atakupa
(Care of children even education, He’ll grant you)
Omba nguvu upige magoti baba, mwambie akupe amani
(Get on your knees and pray for strength, tell God to grant you peace)

(Chorus)

Ee mama mjane naelewa unavyo hisi, moyo unauma
(To you widow I understand how you feel, you’re heart broken)
Baada ya mumeo kufa mama, huna pa kwenda
(After your husband died, you have nowhere to go)
Wakweza wamekufukuza mbali, wewe huna nyumba
(Your in-laws have chased you away, you have no home)
Marupurupu ya mumeo kazini, wataka nyakua
(Your husbands work benefits, they want to steal from you)
Usilie mama Mungu anaona, naye akujali
(Don’t cry mother – God sees, and he cares for you)
We piga magoti inua mikono, Omba Baba amani
(Get on your knees, lift your hands, and pray to God for peace)

(Chorus)