(Sung in Swahili)

Chorus:
Penya moyo wangu, nikujue zaidi (Pierce my heart, so I would know you more)
Ili moyoni mwangu kutiririke nyimbo za sifa (So that songs of praise will flow from my heart)
(Repeat)

Yale niliyopitia, yale ninayopitia, (What I have been through, what I’m going through)
yale nitayopitia, Yalenekeza kukupa sifa (What I will go through, leads me to give you praise)
Penya moyo wangu, nielimishe neno (Pierce my heart, teach me your words)
Ili ndani yangu kutokee ibaada ya sifa (So that session of praise will come from my heart)

(Chorus)

Katika hali zote, unikumbushe baba (In all circumstances, remind me Father)
Nisilalamike nikupe sifa na utukufu (Not to complain but to give you praise and worship)
Katika hali zote, nisaidie Baba (In all circumstances, help me father)
nikusujudu wewe, nikupe sifa na utukufu (To worship you and give you praise and glory)
penya moyo wangu, ewe mfinyanzi wangu (Pierce my heart, oh you my potter)
Ili ndani yangu nikuabudu, nikupe sifa (So that I will worship and praise you in my heart)

(Chorus)

Niundie moyo safi, utokao sifa (Create in me a clean heart that gives praise)
Niinue jina lako, nyakati zote Baba yangu (So I can lift your name at all times my Father)
Natamani moyo safi, unaonyenyekea (I desire a clean heart, that humbles itself)
Mbele zako baba, moyo unaokuinua (Before you Father, a heart that lifts you)
Nikuabudu Baba, nikupe sifa Yesu (To praise you Father, to give you praise you Jesus)
Ninyenyekee kwako Muumba wangu, pokea sifa (So I can humble myself my creator, receive praise)

Chorus in Luhya
Chorus in (?)
Chorus in Kikuyu
Chorus in Luo
Chorus in Swahili

Advertisement