(Sung in Swahili)

Chorus:
Nimevipiga vita vizuri, (I have fought the good fight)
Mwendo wangu nimeumaliza (I have completed my race)
Nayo imani nimeilinda (I have kept the faith)
Natarajia kupewa taji na Bwana (I expect to be crowned by the Lord)

Nikitazama nyuma sijuti haka (I do not regret my past, no)
Nimejifunza kusahau yaliyopita (I have resolved to forget my past)
Sasa najisukuma kwa yaliyo mbele (Now I focus on what is ahead)
Nikimfuata Yesu mwokozi wangu (As I follow Jesus my savior)

(Chorus)

Japo imani yangu imetikiswa (Though my faith is shaken)
Mimi nimeshikiliwa na Yesu wangu (My Jesus holds me safe)
Hata wakiniacha rafiki zangu (Though my friends abandon me)
Siri mimi niko na Imanueli (My secret: I abide with Emmanuel)

(Chorus)

Bridge:
Nifuateni, nifuatatavyo Yesu (Follow me, as I follow Jesus)
Yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu (He’s the author and finisher of our faith)
Msishawishike na ulimwengu upitao (Don’t be temped by the fleeting world)
Tuvipige vita vizuri (Let us fight the good fight)

(Chorus)

Advertisement