(Sung in Swahili)

Hallelujah, Hallelujah, Hallelujah

Refrain:
Hakuna wa kufana naye (There is no one like Him)

Hakuna wa kufanana na Yesu (There’s no one like Jesus)
Hakuna wa kulinganishwa nawe (No-one to be compared to you)
Hakuna mwingine kama wewe Bwana (No one like you Lord)
Hakuna duniani kote Baba (No one in all the world Father)

Hallelujah, Hallelujah, Hallelujah

Uinuliwe, uinuliwe, uinuliwe (Be lifted high)
Alinifia msalabani (He died on the cross on my behalf)
Akazibeba dhambi zangu zote (And carried all my sins)
Akachukua masikitiko yangu (He took all my troubles)
Magonjwa yangu yote akajitwika (He carried all my sickness)

Pokea sifa (Receive all praise)
Uinuliwe (Be lifted high)

Hakuna wa kufanana na Bwana/Nissi (There’s no one like the Lord/Nissi)
Ukiinua unainua kabisa (When you lift, you lift high Jesus)
Juu mbinguni hakuna kama wewe (Up in heaven, there’s no one like you)

Pokea sifa (Receive all praise)
Milele hakuna kama wewe (Forever and ever, there’s no one like you)
Juu mbinguni hakuna kama wewe (In heaven there’s no one like you)
Maishani mwangu, hakuna kama wewe (In my life, there’s no one like you)
Oh, hakuna kama wewe (Oh, there’s no one like you)

Wewe watosha (You are enough)
Upewe sifa (Be given praise)