(Sung in Swahili)

Refrain:
Uliniumba nikuabudu (You created me to worship you)

Kwa ajili yako mimi naishi (Because of you I’m alive)
Pasipo wewe singekuwepo (Without you I would not be here)
Mimi ni kazi ya mikono yako (I am the work of your hands)

Baba ninaona nikuabudu (Father I prefer to worship you)
Maana matendo yako ni mengi sana (Because your works are many)
Ishara zako Baba ni nyingi mno (Your signs are many)
Maana wewe ndiye Mungu wangu (Because you are my God)
Uliniumba niseme matendo yako (You created me to tell of your actions)
Wewe ndiwe Mungu wa miungu (You are the God of gods)
Wewe kimbilio letu na ngome yet (You are our fortress and help)
Hakuna aliye kama wewe (There is no one like you)

Maneno ya kusema yananikosa ( I am lost for words)
Maana matendo yako ni ya ajabu (Because your works are wondergul)
Maana ishara zako ni nyingi  (Because your signs are many)
Kwa macho nimeona makuu yako (With my eyes I have seen your  greatbess)
Masikio nimesikia matendo yako (My ears have heard your works)
Ndio maana nimetambua (That is why I know)
Ya kwamba niliumbwa nikuabudu (That I was created to worship you)
Mungu wa milele (Everlasting God)

(Chorus)

Advertisement