Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame (The one who refreshes me during the time of drought)
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda (You do not let me wither, Oh I love you)(Repeat)
Refrain:
Nakupenda, nakupenda (I love you, I love you)
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda (My refresher, I love you)(Repeat)
Kama mti kando ya mto, Hivyo ndivyo ilivyo (Like a tree by the streams of waters, that is how I am)
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda (My refresher, I love you)(Repeat)
Nakupamba na sifa zangu, Wewe kwangu Ebeneza (x3) (I adore you with my praises, you are Ebenezer to me)
Verse:
Nakuinua, wastahili, wapendeza, Mungu wangu (I lift you, you deserve, my God you are lovely)
Jina lako, takatifu, wewe kwangu… Oh (Your name, is holy, to me… Oh)
Refrain:
Nakwita Adonai; Ewe U Bwana wangu (I call you Adonai: You are my Lord)
Nakwita Jehova Nissi; bendera yangu – vita ni vyako (I callĀ you Jehovah Nissi: My banner – the fight is yours)
Nakuita Jireh; [..?], hakuna chochote (I call you Jireh: [..?], There’s nothing too hard for you)
Jehovah Shammah; pamoja nami (Jehovah Shammah; you are with me)
Refrain:
Nimekubali, nasema ndio (I accept, I say yes)
Kwako ni salama, nasema ndio (It is safe in you, I say yes)
Nimekubali, nasema ndio Bwana (I accept, I say yes Lord)
Najitoa dhabihu iliyo hai Bwana nitumie(I give myself as a living sacrifice, Lord use me)
Bwana watafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli (Lord you look for those who worship in spirit and truth)
Na wakati ndio huu naamini umefika Baba (And I believe that the time is now father)
Nisaidie kutenda kulingana na mapenzi yako yahweh (Help me to do your will)
Kutembea na maagizo yako moyoni mwangu (To walk with your instructions in my heart)
(Refrain)
Mimi ni chombo mikononi mwako Yahweh (I am a vessel in your hands Yahweh)
Tena ni udongo na wewe mfinyanzi Baba (And clay, while you are the potter)
Nifinyange, nitengeneze (Mold me and make me)
Uishe nafsi yangu, chochote mimi nitatenda (Use my life, I follow your will)
(Refrain)
Niumbie moyo safi, ili niweze kukutukuza (Create in me a clean heart to worship you )
Bwana nitenge kwa ajili ya jina lako Baba (Set me aside for the sake of your name)
Wala usinitenganishe na uwepo wako (Do not separate me from your presence)
Mimi Bwana, nimekubali njia zako Baba (Father I accept your ways)
Semphethe wena ya ratehang (Please do not pass me by)
Mmoloki wa ka (oh my savior)
Ha ontse osetsa babang (While on others thou art calling)
Semphete le nna (Do not pass me by)
Jeso, Jeso, Kea O rapela (Jesus, Jesus, hear my humble cry)
Ha ontse osetsa babang (While on others thou art calling)
Semphete le nna (Do not pass me by)