(Sung in Swahili)

Dunia inazama, naiangalia (I’m witnessing the world sinking)
Sina cha kufanya, rohoni naumia (I cannot do anything, my heart is broken)
Mawazo yangu oh, naangamia (In my thoughts oh, I am perishing)
Uko wapi Mungu wangu we, hunioni nalia? (God where are You, Do You not see my tears?)
Kumbe ulikuwa unanisikia, unaniangalia wewe! (Lo, You were listening to me, and watching over me!)
Likapotea tumaini langu, ila imani ikaingia (Though hope left me, faith entered)
Kumbe ulikuwa unanisikia ah (Lo, You were listening to me)
Na likapotea tumaini langu ila imani ikaingia (Though hope left me, faith entered)

Refrain:
Waambie, uliniona nilipokuomba (Tell them, You watched when I prayed)
Ulisikia na ukaitika (You heard and answered)
Mungu waambie, uliposema uwaja (Lord tell them, when You said You would come)
Wala hukukosea njia na ulifika (You did and did not miss the way)
Mungu waambie, ni wewe tu ni wewe tu (God tell, it is only You, only You)
Mungu waambie, ni wewe tuu (God tell them, it is only You)
Uliesababisha leo imefika (You that made tomorrow come to be)

Waambie kila siku ni zawadi (Tell them that everyday is a gift)
Hakuna heshima inayozidi uhai (There is no honor greater than life)
Ni neema na rehema (It is Grace and Mercies)
Wawe na hekima unazitimiza ahadi (To have the wisdom to know You fulfill Your Promises)
Waambie, hawapaswi kukata tamaa (Tell them, they should not give up)
Sababu daima haupo mbali (Because forever You are near)
Ukipotea mwanga (When the light disappears)
Gizani nd’o nyota hung’aa mwanga mkali (It’s in the darkness that stars shine the brightest)
Waambie wasiache tumaini nd’o imani (Tell them not to abandon hope, hope is faith)
Wasiache kukuamini nd’o amani  (Not to stop believing, this is peace)

(Refrain)