(Sung in Swahili)

Bwana, tumekuja kwako (Lord we have come before Your presence)
Kuliinua jina lako (To lift up Your Name)
Kwani wewe watosha (For You are enough)
Wewe furaha yetu (You are our joy)
Wewe watosha (You are enough)  (Repeat)

Refrain:
Tunainua mikono yetu (We lift up our hands)
Kusema we Bwana (Testifying that You Lord)
Katuokoa kutoka mautini (Have rescued us from death)
Tunasema we Bwana (We proclaim that you Lord)
Tunakiri uwezo wako (We testify of Your might)
Wewe watosha (You are enough)

(From the top)

Watosha (You are enough) x8
Bwana wewe watosha (Lord, You are enough)
Wewe watosha (You are enough) x2

(Refrain)