Bwana, tumekuja kwako (Lord we have come before Your presence)
Kuliinua jina lako (To lift up Your Name)
Kwani wewe watosha (For You are enough)
Wewe furaha yetu (You are our joy)
Wewe watosha (You are enough)(Repeat)
Refrain:
Tunainua mikono yetu (We lift up our hands)
Kusema we Bwana (Testifying that You Lord)
Katuokoa kutoka mautini (Have rescued us from death)
Tunasema we Bwana (We proclaim that you Lord)
Tunakiri uwezo wako (We testify of Your might)
Wewe watosha (You are enough)
(From the top)
Watosha (You are enough)x8
Bwana wewe watosha (Lord, You are enough)
Wewe watosha (You are enough) x2
Nalijua jina moja, jina lenye thamani (I know one name, one precious name)

Chorus:
Naliita jina la Yesu,yawe ngome imara (I call upon the name of Jesus, to be my solid rock)
Mwenye haki hukimbilia,Naye akawa salama (The righteous run to him, and they are safe)
Naliita jina la Yesu,yawe ngome imara (I call upon the name of Jesus, to be my solid rock)
Mwenye haki hukimbilia,Naye akawa salama (The righteous run to him, and they are safe)
Najua utamu wa hili jina,Nilimwita akaniokoa (I know how sweet the name is, I called and he saved me)
Najua utamu wa hili jina,Nilimwita akaniokoa (I know how sweet the name is, I called and he saved me)
Najua utamu wa hili jina,Nilimwita akaniokoa(I know how sweet the name is, I called and he saved me)
Najua utamu wa hili jina,Nilimwita akaniokoa(I know how sweet the name is, I called and he saved me)
(Chorus)
Wanyonge waliita, wenye haki waliinua (The weak called to him, the righteous lifted it in praise)
Jina hili ni ngome imara, kwa yule anayeliita (This name is a solid rock, to whoever calls to it)
Wanyonge waliita, wenye haki waliinua (The weak called to him, the righteous lifted it in praise)
Jina hili ni ngome imara, kwa yule anayeliita (This name is a solid rock, to whoever calls to it)
Bwana mchungaji wangu, sitapungukiwa
katika malisho ya majani, mabichi hunilaza
Kwa maji matulivu, yeye huniongoza
Kwa uvuli wa mauti, sitaogopa kamwe
Chorus:
Umeniandalia, meza mbele yangu
Machoni pa watesi wangu, Bwana huniongoza
Huisha nafsi yangu, katika njia za haki
Kwa ajili ya jina lako, wewe upo nami
Nimekukimbilia, Baba Mungu wangu
Nisiaibike, mbele za watesi wangu
Wewe upo nami, gongo na fimbo yako
vyanifariji Baba, Sitaogopa kamwe
(Chorus)
Umenipaka mafuta, kichwani mwangu
Kikombe kinafurika, machoni pa watesi wangu
Wema nazo fadhili, zitanifuata
Siku zote za maisha yangu, nyumbani mwako milele