(Sung in Swahili – A Hymn)

Nataka nimjue Yesu (More about Jesus would I know)
Na nizidi kumfahamu (More of His grace to others show)
Nijue pendo lake na (More of His love and)
Wokovu wake kamili (More of His saving fullness see)

Refrain:
Zaidi, zaidi (More, more)
Nimfahamu Yesu (More about Jesus)
Nijue pendo lake na (More of His love and)
Wokovu wake kamili (More of His saving fullness see)
(Repeat)

Nataka nione Yesu (More about Jesus let me learn)
Na nizidi kusikia (More of His holy will discern)
Anenapo kitabuni (Spirit of God, my teacher be)
Kujidhihirisha kwangu (Showing the things of Christ to me)

(Refrain)

Nataka nifahamu (More about Jesus, in His Word)
Na nizidi kupambanua (Holding communion with my Lord)
Mapenzi yake nifanye (Hearing His voice in every line)
Yale yanayompendeza (Making each faithful saying mine)

(Refrain)

Nataka nikae naye (More about Jesus on His throne)
Kwa mazungumzo zaidi (Riches in glory all His own)
Nizidi kuwaonyesha (More of His kingdom’s sure increase)
Wengine wokovu wake (More of His coming, Prince of Peace)

Notes: Lyrics to the original English hymn was modified to fit the Swahili version.

Advertisement