(Sung in Swahili – A hymn)
Refrain:
Kuoshwa kwa damu (Are you washed in the blood)
Itutakasayo ya kondoo (In the soul-cleansing blood of the Lamb)
Ziwe safi nguo nyeupe mno (Are your garments spotless – white as snow?)
Umeoshwa kwa damu ya kondoo? (Are you washed in the blood of the Lamb?)
Wamwendea yesu kwa kusafiwa (Have you been to Jesus for the cleansing power?)
Na kuoshwa kwa damu ya kondoo (Are you washed in the blood of the Lamb?)
Je, neema yake umemwagiwa? (Are you fully trusting in His grace this hour?)
Umeoshwa kwa damu ya kondoo (Are you washed in the blood of the Lamb?)
(Refrain)
Wamwandama daima mkombozi (Are you walking daily by the Savior’s side?)
Na kuoshwa kwa damu ya kondoo (Are you washed in the blood of the Lamb?)
Yako kwa msulubiwa makazi (Do you rest each moment in the Crucified?)
Umeoshwa kwa damu ya kondoo (Are you washed in the blood of the Lamb?)
(Refrain)
Atakapokuja bwana arusi (When the Bridegroom cometh)
Uwe safi kwa damu ya kondoo (Will you be washed in the blood of the Lamb?)
Yafae kwenda mbinguni mavazi (Will your soul be ready for the mansions bright,)
Yafuliwe kwa damu ya kondoo (And be washed in the blood of the Lamb?)
(Refrain)
Yatupwe yaliyo na takataka (Lay aside the garments that are stained with sin)
Na uoshwe kwa damu ya kondoo (And be washed in the blood of the Lamb)
Huo ni kijito chatiririka (There’s a fountain flowing for the soul unclean)
Na uoshwe kwa damu ya kondoo (Oh, be washed in the blood of the Lamb)
(Refrain)