(Sung in Swahili)

Refrain:
Umeniweza, umeniweza (You have managed me)
Umeniweza, nimetulia (You have managed me, I am now calm)

Repeat: Refrain
Nilikuwa mbishi sana (I was combative)
Nilikuwa sisikii (I did not listen)
Umeniweza Bwana (You managed me Lord)
Nimwezewa na wewe Yesu (I am managed by You, Jesus)
Ubishi umeanguka chini (Combativeness has fallen)

Repeat: Umeniweza, nimetulia (You have managed me, I am now calm)
Mimi huyi hapa, nilikuwa kama very complicated sana (I was very complicated)
Nilipokutana na wewe (But when I met You)
Nilikuwa ka mbishi sana (I was very combative)
Nilikuwa ka napinga maneno yako mungu (I used to oppose the Word of God)
Mungu nilipokutana nawe (God, when I encountered You)
Masikio yangu yalikuwa magumu (My ears were hard of hearing)
Nilikuwa sisikiangi (I did not listen)
Yesu nilipokutana nawewe (But Jesus when I met You)
Pombe nikikunywa sana, bangi nilivuta sana (I was drunk, I was high)
Nilipokutana nawe Yesu (When I encountered You Jesus)

(Refrain)

Leo nimetulia kwako (Today I bask in You)
Nimeitwa mwana wako (I am called Your child)
Na Mbinguni naingia (I will enter heaven)
Umenipa furaha ya wokovu, Yesu (You have given me the joy of Salvation)
Nilipotulia kwako Bwana (When I hid in You, Lord)
Umetengeneza mapito yangu Bwana(You have prepared my paths, Lord)

Repeat: Umewaweza, wametulia (You managed them, they are calm)
Wengine wetu wamekunywa pombe mpaka wamekutana mitaroni (Others had drunk until they slept in trenches)
Walipokutana nawe Yesu (But when they encountered You Jesus)
Wengine walipata mshahara wakikimbilia ? na makahaba (Others got their salary and ran towards prostitution)
Walipokutana na wewe Yesu (But when they encountered You Jesus)
Wengine walikuwa ni waasi wa neno lako (Others refused Your Word)
Walipokutana na wewe, Yesu (But when they encountered You Jesus)
Wengine walikuwa na michapuko ( Others had  outbreaks ?)
Walipokutana na Yesu, michipuko imeanguka chini (But when they met you, oubreaks fell)
Wengine walikuwa na mipango ya kando (Others had affairs)
Walipokutana na Yesu, mipango ya kando imeanguka (But when they met you, those affairs ended)

Repeat: Refrain
Wanaume Ye (Men)
Umetuweza wanaume (You have calmed us men)
Nimesaluti kwako (I salute You)
Yesu umetuweza (Jesus You have managed us)
Waliokuwa wahuni, wamekugeikia (Those who were hooligans, have returned to You)
Umewaweza Yesu, wamerudi kwa maisha (You managed them, they have returned to salvation)
Umeniweza, Umeniweza Baba (You have managed me Father)
Umeniweza, nashindwa kuongea (You have managed me, I have no words)

(Refrain)

Anatoanga watu chini kwenye matope (He raises people from the miry clay)
Ulikuwa unakula na nguruwe (Though you ate with the pigs)
Yesu amekufanya ung’ae (He will make you shine)
I salute Daddy, Daddy, Daddy
Igwe! Igwe! Igwe! (Praise)