(Sung in Swahili)

Msimamizi wa mipaka ya bahari (The supervisor of the ocean borders)
Utunzaye ghala ya mvua (The keeper of the rains)
Waamua vita ya jua na mwezi (The judge in the war of the sun and the moon)
Upepo na mawimbi vyakujua (The winds and waves know You)
Uketiye mahali pa siri (The One who sits in the Secret Place)
Patakatifu palipo inuka (The raised Holy Place)
Kwa utangazo wa mwisho mwanzoni (By the prophecy of the end in the beginning)
Hakuna usilo lijua (There is nothing that You do not know)

Bridge:
Nani wakulinganishwa nawe Jehova mwenye nguvu
(Who is to be compared to You, Mighty Lord?)
Ufalme wako ni wa zamani zote vizazi vyote
(Your reign is forever through all generations) (Repeat)

Refrain:
Miaka kwako sio umri (Years do not age You)
Uzazi kwako si ukomo (Parenthood does not define You)
Miaka kwako sio umri (Years do not age You)
Uzazi kwako si ukomo (Parenthood does not define You)
Wadumu milele (You reign forever)
Wadumu milele (You reign forever)
Bwana wadumu milele (Lord You reign forever)
Wadumu milele (You reign forever)

Wewe Bwana ni kama maji (You Lord, are like the waters)
Maji yenye kina kirefu (Like the deep waters)
Maji yenye kina kirefu (For the deep waters)
Kamwe hayapigi kelele (Are still)
Ni kweli kuna mabwana wengi (It is true that there are many lords)
Lakini wewe ni Bwana wa mabwana (But You are the Lord of lords)
Ni kweli kuna miungu mingi (It is true that there are many gods)
Lakini wewe ni Mungu wa miungu (But You are the God of gods)

Siku kwako sio vipindi (Days are not episodes to You)
Majira kwako sio ishara (Seasons are not signs to You)
Ufikiwi kwa mnara wa Babeli (You are not reached by the Tower of Babel)
Jina lako ni ngome imara (Your Name is a safe refuge)

(Bridge)

(Refrain)

(Bridge)

Advertisement