(Languages: Swahili, Lingala)

Umbali tumetoka, na mahali tumefika
(Thus far we have come from, and where we are now)
Ndio maana ninatambua, kwamba wewe ni Ebeneza
(It is why I confess, that you are Ebenezer (have brought us thus far))
Sio kwa uwezo wangu,ila ni kwa uwezo wako
(It is not because of my might, but by Your Power)
Mahali nimefika, acha nikushukuru
(Thus far I have reached, let me thank you)
EE Bwana umenisaidia, nifike mahali nimefika
(Oh Lord you have helped me, to reach where I am)
Maana wewe ni ebeneza, maishani mwangu oo
(Lord you are the Ebenezer in my life)

Refrain:
Mi nataka Ebeneza, nijengwe juu yako
(I want to be built on Your foundation, Ebenezer)
Mi nataka Ebeneza, uwe msingi wangu
(I want you Ebenezer to be my foundation)
Jiwe langu la thamani, nakutamani sana
(My precious rock, I desire you so much)
Jiwe langu la pembeni, nakuhitaji sana
(My cornerstone, I need you so much)
Oo Ebeneza, jiwe langu (Oh Ebenezer, my Rock of Ages)

(Refrain)

Ebeneza na nga (My Ebenezer)
Libanga na ngai ya talo (My Precious Stone)
Oleki diamant mpe wolo papa eh, kati na bomoyi na ngai
(You are worth more than diamonds and gold, Father, in my life)
Nzambe nakumisi yo (Lord, I praise You)
Moko te akokani na yo, o (No one compares to You)
Wsika nakomi lelo Yawe, ezali nse na makasi na yo
(It is thanks to You that I am where I am today)

Advertisement