(Sung in Swahili)

Umefanya mengi Bwana (You have done great, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Umetenda mengi Bwana (You have done a lot, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You) (Repeat)

Refrain:
Kwa yale umefanya (For all that You’ve done)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Kwa yale umetenda (For all that You have done)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Umetenda mengi Bwana (You have done a lot, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)
Umetenda mengi Bwana (You have done a lot, Lord)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)

Nimekutumaini Bwana (My hope is in You Lord)
Nimeona mkono wako (For I have seen Your hand)
Nimekutegemea wewe (I depend upon You)
Nimeona wema wako (For I have witnessed Your goodness)

Umeitimiza ahadi Yako (You have fulfilled Your promises)
Umeitunza Neno Lako (You have preserved Your Word)
Nakushukuru Bwana (I thank You Lord)
Nakushukuru wewe (I give thanks to You)
Moyo wangu wakusifu (My heart praises You)

(Refrain)

Advertisement