(Sung in Swahili)

Tunakupa sifa zote, Bwana wa Mabwana (We give You all the praise, Lord of Lords)
Uketiye kwenye Enzi, Mfalme wa wafalme (You who sit on Power, King of kings)
Makerubi, Maserafi, Wote wakutazamia (The Cherubim, the Seraphim, all look to You)
Ulimwengu umejawa, utukufu wako Bwana (The world is full of your Glory, Lord)

Refrain:
Hakuna, Mungu kama wewe (There is no other, God like You)
Hakuna, kamwe kama wewe (There is never other like You)
Hakuna, wa kulinganishwa nawe (There is none that can be compared to You)
Hakuna, Mungu kama wewe (There is no other, God like You)
Hakuna, hakuna, kamwe kama wewe (There is no other, never other like You)

(From the Top)

Nani aokoa? Ni wewe (Who saves? It is You)
Nani anaponya? Ni wewe (Who heals? It is You))
Nani abariki, ni wewe (Who blesses? It is You))
Mungu kama wewe (God like You)

Nani anaweza? Ni wewe (Who is able? It is You))
Nani mkombozi? Ni wewe (Who is the Savior, It is You))
Nani anaweza? Ni wewe (Who is able? It is You))
Mungu kama wewe (God like You)

Mtetezi wangu? Ni wewe (By Defender, It is You))
Bwana wa mabwana? Ni wewe (Lord of Lords, It is You))
Bwana wa majeshi? Ni wewe (Lord of Hosts, It is You))
Mungu kama wewe (God like You)

(Refrain)

Advertisement