(Sung in Swahili)

Repeat: Uliniumba nikuabudu (You created me to worship you)
Uliniumba nikuabudu (You created me to worship you)
Kwa ajili yako mimi naishi, Baba (Because of you I’m alive)
Pasipo wewe singekuwepo, Baba eh (Without you I would not be here)
Mimi ni kazi ya mikono yako, Baba (I am the work of your hands)

Baba ninaona, nikuabudu (Father I prefer to worship you)
Maana matendo yako, ni mengi sana (Because your works are many)
Ishara zako Baba, ni nyingi mno (Your signs are many)
Maana, wewe ndiwe Mungu wangu (Because you are my God)
Uliniumba, niseme matendo yako (You created me to tell of your actions)
Wewe ndiwe, Mungu wa miungu we (You are the God of gods)
Wewe kimbilio letu, na ngome yetu (You are our fortress and help)
Hakuna aliye kama wewe (There is no one like you)

(Refrain)

Maneno ya kusema yananikosa ( I am lost for words)
Nilipoachwa na mama, ukawa mama kwangu (When my mother left me, You became my mother)
Ukampa Baba nguvu ya kunilea (You gave my father the strength to raise me)
Nilipokosa maziwa, ukanilisha (When I did not find milk, You fed me)
Nilipolia usiku na mchana, ulikuwa nami (When I cried day and night, You were with me)
Kukuwa kwangu ilikuwa ndoto, ndiyo maana nasimama nikuabudu, eh (My growth was a dream, that is why I stand here worshiping You)
Ebenezer

Repeat: Uliniumba nikuabudu (You created me to worship you)
Ninasema uliniumba (I say You created me)
Wewe ni nuru ya maisha yangu, Baba (You are the light of my life, Father)
Wewe ni mwanga wa imani yangu, Baba (You are the light of my faith, Father)
Kwa huruma yako mimi niko hai (It is by Your Mercies that I am alive)
Umeokoa familia yangu (You have saved my family)
Umenilinda toka utotoni (You have taken care of me from childhood)
Umenipa sauti nikuimbie, Baba (And gave me a song to sing to You, Father)

We nd’o maisha yangu, Baba (Father, You are my life)
Hallelujah
Oh, Uliniumba nikuabudu (You created me to worship you)
Oh, Uliniumba nikuabudu (You created me to worship you)
Oh, Uliniumba nikuabudu (You created me to worship you)

Advertisement