(Sung in Swahili)

Nataka nikupende zaidi ya baraka zako (I want to love You more than Your blessings)
Nikupende zaidi ya miujiza yako (Love You more than Your miracles) (Repeat)

Ulinipenda kwanza mimi (You loved me)
Ukanifanya nijijue (And caused me to know myself) (Repeat)

Niende wapi, nifanye nini? (Where can I go? What can I do?)
Nitafute wapi, sitapata kama wewe Mungu wangu, Yahweh (Where can I find someone like You, my God)
Maana unatafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli (For You look for those who worship in spirit and in truth)

Refrain:
Umeinuka, uimenuka milele (You are lifted, You are forever glorified)
Sifa nakupa, uhimidiwe milele (I give You praise, be praised forever) (Repeat)

I wanna love You more and more
I wanna praise You more and more (Repeat)

Maana wewe ndiwe Mungu mkuu (For You are a Great God)
Unastahili utukufu (Deserving of praise)
Umetuonyesha upendo kuu (You have shown us Great Love)
Kweli wewe ni mkuu (Truly You are great)

Ulinipenda kwanza mimi (You loved me)
Ukanifanya nijijue(And caused me to know myself) (Repeat)

Niende wapi, nifanye nini? (Where can I go? What can I do?)
Nitafute wapi, sitapata kama wewe Mungu wangu, Yahweh (Where can I find someone like You, my God)
Maana unatafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli (For You look for those who worship in spirit and in truth)

(Refrain)

Advertisement