(Sung in Swahili)

Siku ya tatu, ya harusi ya kana (On the third day in the Wedding at Cana)
Mji wa Galilaya, na mamake Yesu alikuwepo (In the town of Galilee, where Jesus mother was in attendance)
Yesu na yeye alialikwa harusini (Jesus was also a guest at the wedding)
Pamoja na wanafunzi wake (Together with His disciples)
Yesu akamwambia, “mama tuna nini nawe? (Jesus told her “woman, what do I have with You?”)
Kwani saa yangu haijawahi kuwadia” (My time has not yet come”)

Refrain:
Divai ikawaishia, mamake Yesu kamwambia (The wine ran out and Jesus’ mother told Him)
“Hakuna divai, hakuna divai, hakuna divai” (There is no more wine)
Maria akawaambia watumishi (Mary told the attendants)
“Lolote akisema, nyinyi fanyeni” (Whatever He says, you must do)

Repeat: Sintoaibika (I will not be ashamed)
Nikiwa wewe (As long as I am with You)
Mimi na wewe (Me and You)
Nikiwa pamoja na wewe (If I am with You)
Rafiki Yesu (My friend Jesus)
Jehovah Jireh (Lord my Provider)

Katika kila hali, iwe ngumu iwe shwari (In all situation, be it easy or hard)
Mungu husema (God says)
Na akisema, wala habadilishi (And what He says He does not change)
In place of shame, He’ll give you double double
In place of dishonor, He’ll give you everlasting joy
Badala ya aibu, atanipa maradufu dufu (In place of shame, He’ll give you double double)
Kwa utukufu wake, mimi naenjoy (In enjoy His Glory)

(Refrain)

Sintoaibika, sintoaibika (I will not be ashamed)
Sintoaibika, sinto sinto kamwe (I will not be ashamed) (Repeat)

Advertisement