(Sung in Swahili)

Saa zingine kama binadamu huwa tunajidharau (Sometimes as humans we despise ourselves)
Tukikumbuka udhaifu wetu (When we remember our weaknesses)
Na hali zinazo uzidi uwezo wetu (And situations that overwhelm us)
Binadamu, huwa tunajichukia sababu ya mwonekano wetu (Humans, we hate ourselves because of our views)
Tamani ungekuwa na sura kama yule flani (Desiring that we had the facial structures of someone else)
Binadamu ntunajidharau tukikumbuka matatizo yetu (Humans we despise ourselves remembering our troubles)
Unahisi ni kama muumba amekusahau (Feeling as if the Creator has forgotten you)

Refrain:
Hivyo ulivyo, Mungu anakupenda wewe (God loves you, just as you are)
Hivyo ulivyo, yeye anakuwazia mema (He intends good for you, just as you are)(Repeat)

Ukiwa na Mungu jipende, wewe jipende (When you are with God, love yourself, You love yourself)
Ukiwa na Mungu jipende (When you are with God, love yourself) (Repeat)

Jipende wewe jipende (Love yourself, you love yourself) ×3
Jipende wewe jipende (Love yourself, you love yourself) ×3

Penda sura yako, penda maisha yako (Love your appearance, love your life)
Penda mwili wako na nyumba yako (Love your body and your house)
Familia yako, jipende ulivyo (Your family, love yourself as you are) (Repeat)

Shikamana shikamana shikamana na Mungu (Cleave to God)
Usimuache, usimuache (Do not leave Him)

(Refrain)

Jipende wewe jipende (Love yourself, you love yourself) ×3
Jipende wewe jipende (Love yourself, you love yourself) ×3

Advertisement