(Sung in Swahili)

Wewe ni Mungu, mpasua bahari (You are God, Splitter of seas)
Haufananishwi na kitu kingine (You cannot be compared with anything) x2
Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi (You are God, Calmer of Storms)
Haufananishwi na kitu kingine (You cannot be compared with anything) x2 (Repeat)

Refrain:
Unafanya mambo ambayo (You do things that)
Mwanadamu hawezi kufanya (A human cannot do)
Unatoa faraja ambayo (You give comfort that)
Mwanadamu hawezi toa (A human cannot give) (Repeat)

Haufananishwi na kitu kingine (You cannot be compared with anything) x4

Si mwepesi wa hasira (He is not quick to anger)
Unaghairi mabaya (You forget sins)
Haufananishwi na kitu kingine (You cannot be compared with anything) x2

Mungu mwenye wivu (Jealous God)
Mtunza maagano (Protector of Promises)
Haufananishwi na kitu kingine (You cannot be compared with anything) x2

Katikati ya ghadhabu (In the midst of Your anger)
Umekumbuka rehema (You remember mercy)
Haufananishwi na kitu kingine (You cannot be compared with anything) x2

(Refrain)

Haufananishwi na kitu kingine (You cannot be compared with anything) x?

Advertisement