(Sung in Swahili)
Kuna yule aliyenipenda (There is one who Loved me)
Si kwa ajili ya mali (Not because of wealth)
Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu (Who loved me without caring for my weakness)
Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine (Who gave me love that I have not seen in others)
Huyu halali wala, hasizinzii (Who does neither sleeps nor slumbers)
Hata leo hajawai kunichoka (Even today, has never tired of me) (Repeat)
Sikutafuta, ni yeye alikuja kwangu (I did not seek Him, He came to me)
Ingawazaje dhambi, makosa yangu (Despite my sins and mistakes)
Yesu alinipenda wa kwanza (Jesus loved me faster)
Nikamwamini, yeye kanisamehe dhambi (I believed in Him, and He forgave my sins)
Upendo wake, Yesu yeye wanishangaza (His Love, Jesus amazes me)
Yesu, huyu Yesu, rafiki mwema (Jesus, this Jesus ,is a good Friend)
Yesu, huyu Yesu ninampenda (Jesus, this Jesus, I love Him) (Repeat)
Yesu kristo Bwana wangu, ni rafiki mwema (Jesus Christ, My Lord, is a good Friend) x4
Yesu huyu Yesu rafiki mwema (Jesus, this Jesus is a good Friend)
Yesu huyu Yesu ninampenda (Jesus, this Jesus, I love Him) (Repeat)
Oct 20, 2022 @ 07:03:45
Espoir elikya kumu misicien africain °~_- 0978951830
LikeLike