Wakati Wangu (My Time) Lyrics by Edith Wairimu ft Young Qualifiers

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Refrain:
Wakati wa kubarikiwa ni sasa (The time of blessings has come)
Wakati wa kuinuliwa ni sasa (The time of lifting up is now)
Wakati wa kujenga tena, ni sasa (The time of rebuilding has come)
Wakati Mungu amesema ni sasa (The time that God has proclaimed is now)

Kuna wale wazee, Ezekieli anavyosema (There are those elders, as Ezekiel says)
Wanaokaa malangoni mwa nyumba ya Bwana (That sit at the gates to the House of the Lord)
Watungao maovu, na mashauri mabaya (They concoct evil and bad advice)
Wakisema siku ya kujenga nyumba si sasa (Saying that the time to build the house is not now)

Repeat: Wakati wangu ni sasa (My time is now)
Nakataa! Roho ya kizuizi (I refuse the spirit of barriers!)
Nakataa! Mashauri mabaya (I refuse the bad advise)
Nakataa! Unabii wa uongo (I refuse the prophesies of lies)
Nakataa! Roho ya ulaghai (I refuse the spirit of fraud)

(Refrain)

Watu wanapolia, uchumi ni mbaya (When people cry out because of bad economy)
Pesa nazo hakuna, mimi nitafanikiwa (Even when there is no money, I shall succeed)
Maana mwenye haki, huishi kwa amani (For the righteous live by faith)
Wakisema siku ya kuinuliwa si sasa (When others say the time to be lifted has not yet come)

Repeat: Wakati wangu ni sasa (My time is now)
Nakataa! Kupoteza imani (I refuse to lose my faith)
Nakataa! Mifumo ya kushindwa, mimi (I refuse the systems of defeat)
Nakataa! Roho ya umasikini (I refuse the spirit of poverty)
Nakataa! Mimi kuwekwa chini (I refused to be put down)

(Refrain)

Repeat: Wakati wangu ni sasa (My time is now)
Nakataa! Roho ya kuchelewa, eh hapana (I refuse the spirit of delay)
Nakataa! Laana ya kizazi (I refuse the generational curses)
Nakataa! kujithamini chini (I refuse to put myself down)
Nakataa! Kujiona mnyonge (I refuse to see myself as weak)
Nakataa! Kushindwa na magonjwa (I refuse to be defeated by sickness)
Navunja! Laana za aina (I break all the curses)
Nakataa! Kifo cha mapema, la hasha, hapana (I refuse early death, no! Never!)
Nakataa! Roho ya kukataliwa (I refuse the spirit of rejection)

Wakati wa kubarikiwa ni sasa (The time of blessings is now)

Bwana Ananipigania (The Lord Fights for Me) Lyrics by Sarah K and Shachah Team

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Bwana ananipigania (The Lord fights for me)
Bwana ananipigania (The Lord fights for me)
Sitaogopa, nitatulia (I will not be afraid, I shall be still)
Bwana ananipigania (For the Lord fights for me) (Repeat)

Hata nikipita kwenye uvuli wa mauti (Even though I pass through the shadow of death)
Na adui aje kwangu kama gharika (And the enemy confront me like the storm)  (Repeat)

(Refrain)

Sitaogopa hofu ya usiku (I shall not fear the terror of the night)
Wala mshale urukao mchana (Nor the arrows that flies by day) (Repeat)

(Refrain)

Nitauimba Wimbo (I Will Sing the Song) Lyrics by Samson Maombi

Leave a comment


(Languages: Kiswahili, English)

Refrain:
Nitauimba wimbo huu wimbo ulio wa kusifu, roho nzito ya huzuni uwe huru
(I will sing this song of praise, to free heavy and sorrowful hearts)
N’taendelea kwa sifa iliyobeba siri, kwamba kwa Yesu kuna uhuru
(I’ll continue with the praise carrying the secret that in Jesus there’s liberty)
Nitalizima sauti zinazovuta watu, kwa shimo la kukata tamaa
(I will silence the voices that drag people to the pits of giving up)
Kwa wimbo mtamu wa furaha nakuja upesi, kwa ajili yangu na we
(In the sweet joyful song I come quickly for you and me)

Ni wimbo ambao umebeba ujumbe kwa pamoja katika usiku mkuu
(It is a song that has carried the word in the heavy night)
Na wimbo huu waweza tia matumaini mwanadamu anapoanguka
(And this song can give hope to a human when they fail)
Ni wimbo mtamu unaweza fungua minyororo kwa waliofungwa awali
(It is a sweet song that can break the chains of those who were bound)
Waweza kuwa na hakika kupitia wimbo njia yako ya kupitia
(Through the song, you can have assurance on your journey)

(Refrain)

Don’t tell me the world is a hopeless old place
And I might as well just give in
To the doom and gloom life’s a waiting room
For the blow that’ll do us all in
I can’t sympathize when before my eyes is a hope shining bright as day
I gotta follow that song that keeps drawing me home
With my feet dancing all the way

I’m gonna sing just as long as it takes for a song
To make sad and heavy spirits free
I’m gonna keep making new music that carries the secret that Jesus is Liberty
I’m gonna turn off the sounds that’ll drag people down
To the pit of despondency
With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me (Repeat)

With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me

I’m gonna sing just as long as it takes for a song
To make sad and heavy spirits free
I’m gonna keep making new music that carries the secret that Jesus is Liberty
I’m gonna turn off the sounds that’ll drag people down
To the pit of despondency
With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me

With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me

Mungu ni Mmoja (God is the Only God) Lyrics by Bella Kombo ft Evelyn Wanjiru and Neema Gospel Choir

3 Comments


Languages (English, Kiswahili)

Haiya yee…. The King of Glory is here
Haiya yee… haiya hee, eh haiya hee… He is here
Utamwambia nini ukimwona? (What will you say when you see Him?) x2
Tunnainama, tunasujudu (We shall bow, prostrating ourselves)
Mungu ni ni mmoja tu (God is the only God) (Repeat)

Refrain:
Haiya yee….
The King of Glory is here
Haiya yee… haiya hee, eh haiya hee…
He is here (Repeat)

So Mungu yuko mmoja tu (There is only one God)
Yeye MIMI NIKO AMBAYE NIKO (He is the I AM WHO I AM)
Pokelea sifa za mioyo yetu (Receive the praises of our hearts)
Mungu ni ni mmoja tu (God is the only God) (Repeat)

(Refrain)

Ashera oh, Dagoni oh (Ashera and Dagon)
Baali, miungu ya kigeni (Baal and all foreign gods)
Wameanguka, wamevunjika (They have fallen and are broken)
Mungu ni ni mmoja tu (God is the only God) (Repeat)

(Refrain)

Nangojea (I Wait) Lyrics by Guardian Angel

Leave a comment


(Languages: English, Swahili)

Refrain:
Ninangojea, ngojea, baraka zangu (I await, wait for my blessings)
‘Na imani nitapokea, pokea (I have faith that I shall receive it)
Ee Mungu wangu (Oh my God)

If I don’t know how to pray
Please Lord teach me, teach me
Oh Lord I want to ..?.. but if I don’t know where to ..?..
please lord show me

Hasa nikifa moyo leo (Why should I lose heart today)
Na kumbe kesho n’do ulipanga (While You have arranged for tomorrow)
Kunipa ..?.. itakuwaje?, aje? (To give me .?. how would it be?)
Nikikata tamaa leo (If I give up today)
Na kumbe kesho n’do ulipanga (While You have planned for tomorrow)
Kuniinua, itakuwaje? (To lift me up, how would it be?)

Bridge:
Nazidi kazana, kwa imani nangoja (I press on, and wait in faith)
Ipo siku itafika (The day will arrive)

(Refrain)

Walio navyo, si ni wewe uliwapa, Baba? (Those who have, isn’t it You who gave them Father?)
Oh Baba, nami ngangoja (Oh Father, I also wait)
Wabariki wasipo bariki Baba (You bless those whom you bless)
Oh Baba, nami ngangoja (Oh Father, I also wait)

(Bridge + Refrain)

Older Entries Newer Entries