Msaada Wangu (My Help) Lyrics by Geraldine Oduor ft. Dan Shilla

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Nitayainua macho yangu milimani (I will lift up my eyes to the hills)
Msaada wangu watoka wapi? (Where does my help come from?)
Msaada wangu kwako Bwana (My help is in You Lord)
(Repeat)

Nakuinulia macho yangu (I lift my eyes to You)
We uketiye juu sana (Who sits enthroned on high)
Kama macho ya watumishi (Like the eyes of the servants)
Kwa mkono wa bwana zao (in the hands of their masters)
Nileetee we Nuru yako (Grant me Your light)
Kweli yako zidi ongoze (Truly continue to lead me)
Zidi fikishe kwenye mlima (Until I reach the summit)
Maskani yako takatifu (Your Holy Place)

Bwana ndiye mlinzi wangu (The Lord is my protector)
Uvuli wa mkono wangu (The shadow of my hand)
Jua halinipigi mchana (The sun does not shine on me by day)
wala mwezi usiku (Or the moon by night)
Anilinda na mabaya (He protects me from evil)
Atalinda nafsi yangu (He will protect my life)
Nitokapo na niingiapo (When I leave and  when I return)
Tangu sasa na milele (From now, until forever)

(Refrain)

Sheria yako ni kamilifu (Your law is complete)
Huiburudisha nafsi yangu (It refreshes my soul)
Shududa wako niamini (I trust Your testimonies)
Hunitia hekima (It gives me wisdom)
Maagizo yako ni adili (Your instructions are Good)
Hufurahisha nafsi yangu (It gives me joy)
Amri yako ni safi sana (Your orders are good)
Huyatia macho nuru (They light the eyes)

Kijicho chako ni kitakatifu (Your Holy stream)
Kinadumu milele (Is forever)
Hukumu zako ni za kweli (Your judgements are true)
Zina haki kabisa (They are just)
Kuliko wengi wa dhahabu (Unlike many gold things)
Hukumu zako zatamananika (Your judgement is desired)
Kuliko nzinga la asali (Unlike the bee hive)
Hukumu zako tamu kweli (Your judgements are sweet)

(Refrain)

Nitayainua macho yangu Bwana (Lord I will lift up my eyes)
Wewe u msaada wangu wa karibu (You are my close help)

(Refrain)

Mateso (Trials) by Marion Shako

Leave a comment


Jina la yesu ngome imara,Mwenye haki hukimbilia kawa salama
The name of Jesus a solid rock, the righteous run to it and they are safe
Macho ya bwana humwelekea, Mwenye haki kilio chake hukisikia
The eyes of the Lord will look to him, he will hear the cry of the righteous

Chorus:
Mateso ya mwenye haki nayo ni mengi,Lakini Bwana humuokoa nayo yote
The troubles of a righteous person are many, but the Lord will save him from all
kama si wewe, kama si wewe Yesu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
If it was not for you, if it was not for you Jesus, you have preserved me to praise you

Bwana U karibu na mwenye haki, waliopondeka roho yeye huwahifadhi
Lord you are close to the righteous, You preserve the weak in spirit
Humuifadhi mifupa yake, hukumbuka nafsi za watumishi wake
You preserve his bones, you remember your servants

(Chorus)

Wewe ni Mungu, wewe ni baba, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
You are my God, you are my father, you have preserved me to worship you
Wewe ni ngome ya maisha yangu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
You are my life’s stronghold, you have preserved me to praise you
Sifa zako zi kinywani mwangu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
Your praises are on my lips, you have preserved me to worship you
Hafananishwi, hafananishwi Yesu, Umehifadhi nafsi yangu nikutukuze
He is not to be compared, Jesus cannot be compared, you have preserved me to worship you

(Chorus)

%d bloggers like this: