Mwambie (Tell Him) Lyrics by Man Ingwe

1 Comment(Sung in Swahili)

Hii ni ngoma ya wadhii wanafeel (This song is for those who feel)
kama Mungu amewasahau amechelewa sana (That God has forgotten them – He’s too late)
Round this ninataka tuombe pamoja tumkumbushe Mungu (This time I want us to pray together to remind God)
Atukumbuke na ikiwezekana akuje mwenyewe asitume malaika (To remember us and to come down instead of the Angels)

Mwambie Cherie, dada ya Jerry (Tell Cherie, Jerry’s sister)
Jirani wa Njeri, kutoka Jeri (Njeri’s sister from Jeri [Jericho])
Nilimwona Cherie bila renti, (I saw Cherie without rent)
akikopa senti kulipa madeni  (Borrowing money to pay debts)
Alikuwa na magonjwa, watoto wamefukuzwa (She was ill her children not at school)
Shuleni hakujalipwa, kazini amefutwa (School fees were unpaid, she’d lost her job)
Ukimwona mwambie, asilie (If you see her, tell her not to cry)
Atulie namshughulikia (To rest in me, I’m taking care of it)

Chorus:
Mwambie, mwambie, asilie sana (Tell her, tell her, not to cry)
Machozi yake nitayapangusa (I shall wipe away her tears)
Mwambie, mwambie, nampenda sana (Tell her, tell her, that I love her)
MAombi yake, nashughulikia (I am taking care of her prayers)

Mwambie Johnny, ndugu ya Bonny (Tell Johnny, Bonny’s brother)
Jirani wa tony, kutoka Doni (Tony’s neighbor from Doni [Donholm])
Nilimwona Johnny akilia woi (I saw Johny crying Woi)
Akisema story ilikuwa sorry (He had a sorry story)
Alikuwa amechakaa, bila pa kukaa  (He was unkempt with no place to stay)
Bila cha kuvaa, kajificha kwenye Bar (With nothing to wear, he hid in Bars)
Ukimwoma mwambie, asilie (If you see him tell him)
Atulie namshughulikia (To rest in me, I’m taking care of it )

(Chorus)

Bridge:
Ewe ndugu ukilia naye Mungu analia (My brother, God cries when you cry)
Ukiumia, anaumia (He hurts when you hurt)
Ukifurahia, naye anafuraia (Joyful when you are joyful)
Atakubariki, mwambie mwenzio (He will bless you, tell others that)

(Chorus)

Ndugu/Dada/Mama/Baba usilie (Brother/sister/mother/father don’t cry)
Mungu mwaminifu  (God is faithful)
Atajibu maombi yako, pokea  (He will answer your prayer – receive it.)

Mwambie (Tell Him) Lyrics by Jemmimah Thion’go

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Mwambie Baba shida zako maana yeye atazitatua
(Tell father your troubles for he will solve them)
Ukiwaambia majirani ye, masimango yatakufuata
(If you tell your neighbors, gossip will follow you)
Mwambie Yesu upitiayo maana yeye ayajua yote
(Tell Jesus your troubles for He knows all)
Alishinda kifo Masiya, nini pia asoweza shinda
(The Messiah defeated death, what will thwart him?)

Chorus:
Mwambie, mwambie, mwambie Baba shida zako
(Tell him, tell him, tell the Father your troubles)
Mwambie, mwambie, yote alikusikiza
(Tell him, tell him all he listens)
Mwambie, mwambie, mwambie Baba shida zako
(Tell him, tell him, tell the Father your troubles)
Mwambie, mwambie, Yeye atazitatua
(Tell him, he will solve them)

Ee mama unajisumbua, washika tama una huzuni
(You woman hold your chin in depression)
Unakosema juu ya shida zako we huwaambia majirani
(When you tell of your troubles you tell your neighbors)
Usiende kwa waganga, hawatosimamisha ndoa yako
(Don’t go to the witch-doctors: They won’t help your marriage)
Mwambie Yesu shida zako, waganga wataivunja
(Tell Jesus your troubles, Witch-doctors will break it)

(Chorus)

Usiwaambie walimwengu, yakusumbuayo ndugu yangu
(Don’t tell the world whatever troubles you my brother)
Yesu pekee ndiye aweza kuitatua shida yako
(Jesus only would help solve your troubles)
Mbona wasumbuka bure ukitafuta ushauri mwenzangu
(Why do you trouble yourself looking for solutions?)
Hebu soma hiyo Biblia, ina jawabu kwa kila jambo
(Read that Bible, it has a solution for every question)

(Chorus)

%d bloggers like this: