Nani Kama Wewe (Who is Like You) Lyrics by Eunice Njeri

Leave a comment


Refrain:
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Nakuinua Mungu wangu leo (I lift You up today, My God)
Nani kama wewe? (Who is like You?)
Nakupenda (I love You) (Repeat)

Miguuni pako, nakuinamia Bwana (Lord I bow before Your feet)
Heshima na utukufu Baba, nakupa Yesu (Jesus I give You honor and Glory)
Nimekuja nikuinue, nimekuja nikupende (I have come to worship You – Love You)
Miguuni pako, nakupenda (At Your feet, I love You)

(Refrain)

Enzini pako, nakuinamia Bwana (Lord I bow before Your throne)
Enzini pako, nainua mikono (I lift my hands, before Your throne)
Enzini pako, nakuabudu Bwana (Lord, I worship You at the thone)
Enzini pako pokea utukufu (Receive the Glory at Your throne)

(Refrain)

Baba hakuna mwingine tena (Father there is no one else)
Mwenye enzi na utukufu (With the honor and the Glory)
Kama wewe shalom Baba (Like You Father of Peace)
U Mungu wa wajane Baba (You are the God of widows, Father)
Mweza yote kwa mayatima (Abler of all to the orphans)
Nani mwingine kama wewe, nakupenda (Who else is like You? I love You)
Sina mwingine kando yako (I have no one alse apart from You)
Ninakushukuru Baba (I’m grateful to You Father)
Nakwinamia wewe, unastahili (I bow before You, You are deserving)
Nani kama wewe Bwana? (Who is like You Lord?)
Hakuna mwingine kama wewe Bwana (There is no one else like You Lord)

(Refrain)

Response: Hakuna. Mwingine kama wewe Bwana Hakuna (None. None else like You Lord)
Nani kama wewe Bwana? (Who else is like You Lord?)
Mfariji kama wewe Bwana (Comforter like You Lord)
Duniani, mbinguni na chini, Baba (On earth, in heaven and below, Father)
Nani kama wewe Bwana? (Lord, Who is like You?)

Response: Amina Milele (Forever amen)
Amina oh, amina (Amen) x?
Wewe ni Mungu tunasema (You are God, we say)
Jehova Shalom, Jehova Nissi (Lord of Peace, Lord our banner)
Jehova Elshadai, Jehova Adonai (Almighty God, Lord God)

Nani Kama Wewe (Who is Like You) Lyrics by Gloria Muliro ft. Man Ingwe & Mercy Linah

1 Comment(Sung in Swahili)

Ni nani kama wewe (Who is like you) x3
Mungu mkuu (Almighty God) (Repeat)

Kwa neno lako Bwana (By the word of your mouth Lord)
Uliumba dunia na vyote vilivyomo (You created the earth and all in it)
Jina lako Baba, limeinuliwa juu ya yote (Your name Father, is lifted above all others)
Hakuna, hakuna kama wewe (There is no one, There is no one like you)

(Refrain)

Uinuwae wanyonge (You lift the weak)
Wawaketisha na wafalme (And sit them amongst kings)
Hakuna uwezaye tenda ila wewe (No one can do this except you)
Nikitazama maisha yangu (When I look at my life;)
Ulikonitoa Yesu wangu (From where you’ve brought me my Jesus)
Nina sababu ya kusema, ni wewe pekee (I have a reason to say, Only you)

(Refrain)

Nani mwenye uwezo (Who has the might)
Nani mwenye rehema tele (Who has the abundant compassion)
Nani mwenye enzi kama yako (Who has dominion like yours)
Ni wewe pekee (Only you)
Wastahili sifa zote (You deserve all the praise)
Mbinguni na duniani Baba (In heaven and on earth Father)
Twakusujudu, twakuabudu, twakuheshimu (We bow to you, we worship you, we extol you)

(Refrain)

Umetukuka adonai, el shadai (You’re praiseworthy Lord, God almighty)
Mungu mwenye nguvu (Mighty God)
Ni nani mwingine kama wewe (Who else is like you?)
Hakuna wa kulinganishwa na wewe Baba (There’s no one compared to you Father)
Nani kama wewe Baba/Yahweh (Who is like you Father/Yahweh)

%d bloggers like this: