(Languages: Swahili, Lingala)

Song 1: Bwana Wangu Nitakuimbia (My Lord I will Sing for You)

Refrain:
Eh Bwana wangu nitakuimbia (My God I will sing for You) x2
Wakati ningali na pumzi, nitakuimbia (As long as I have breath, I will Sing for You) x2
Eh Bwana (Oh Lord)

Mfalme wangu nitakuimbia (I will sing for You my King)
Eh Baba wangu, nitakuimbia (I will sing to You, my Lord)
Wakati ningali na pumzi, nitakuimbia (As long as I have breath, I will Sing for You) x2

(Refrain)

Nikuimbie, je? (How should I sing for You?)
Nikuchezee, je? (How should I dance for You?)
Wakati ningali na pumzi, nitakuimbia (As long as I have breath, I will Sing for You) x2

Song 2: Unabakia Mungu (You Remain God)

Refrain 2:
Unabakia Mungu, unabakia Mungu x? (You remain God, You remain God)
Unabakia mungu, wa milele (You remain the Everlasting God)

Ulitembea kwa maji (You walked on water)
Wanakuita wa miujiza (They call you the Miracle Worker)
Unabakia mungu, wa milele (You remain the Everlasting God)

(Refrain 2)

Papa yo kotika na Nzambe (Our father will not leave us)
Yo kotika na Nzambe (The Lord will not abandon us)
Lelo lobi libela, Na libela yo ozali (Today, tomorrow and forever, You remain the same)

(Refrain 2)

Ulifufua Lazaro, wanakuita muujiza (You raised Lazarus, they call you the Miracle Worker)
Unabakia Mungu, wa majeshi (You remain the God of Hosts)

(Refrain 2)

Balibenga ba Nzambe, bakenda, Y’ozobi kakaka (We invite the Lord wherever we go)
Kotika na Nzambe, libela nga libela (Let God be God, forever and ever)

(Refrain 2)

Song 3: U Wa Uwezo (Capable God)

Hakuna Mwingine kama wewe Baba (There is no one like You, Father)
U wa uwezo, u wa uwezo (You are capable, You are capable)
Hakuna Mwingine kama wewe, Mungu wangu (There is no one like You, my God)
U wa uwezo, u wa uwezo (You are capable, You are capable)
Baba hakuna mwingine kama wewe (Father there is no one like You)

Refrain 3:
Repeat: U wa uwezo (You are capable)
Neema yako Baba (Father, Your grace) x3
Mungu wa maajabu (Amazing God)
Mungu wa mapendo (God of Love)
Ni Mungu wa majeshi (God of Hosts)
Nzambe ya koyemba (God of songs)

Tunakuita Baba eh (We call You Father) x2 (Repeat)

(Refrain 3)

Tunakuita Baba eh (We call You Father) x2 (Repeat)

Baba wa maombi (God of prayers)
Shuka leo (Come down today) (Repeat)

Baba wa maajabu, shuka leo (God of Wonders, come down today)
Tuko na lazima yako (We have your commands)

Ni wa maajabu (He is a Wonder) x?
Mungu wa milele (Everlasting God)
Mungu wa maajabu (Amazing God)
Nzambe ya koyemba (God of song)

Advertisement