(Sung in Swahili – A Hymn)

Chorus:
Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu (More about Jesus would I know)
Nijue pendo lake na (More of His love and)
Wokovu wake kamili (His saving fullness)

Nataka nimjue Yesu (I want to know about Jesus)
Na nizidi kumfahamu (And to understand Him)
Nijue pendo lake na (To know about His love and)
Wokovu wake kamili (His saving fullness)

(Chorus)

Nataka nimwone Yesu (I want to see Jesus)
Na nizidi kusikia (And to listen to Him)
Anenapo kitabuni (As He speaks in the Book)
Kujidhihirisha kwangu (To reveal Himself to me)

(Chorus)

Nataka nimfahamu (I want to understand Him)
Na nizidi kupambanua(And to continue to understand)
Mapenzi yake nione (To see his love)
Yale yanayo pendeza (And all that is Good)

(Chorus)

Nataka nikae nawe (I want to stay with Him)
Kwa mazungumzo zaidi (For more communion)
Nizidi kuwaonesha (To continue to show)
Wengine wokovu wake (Others his salvation)

(Chorus)

Advertisement