Chukua (Receive) Lyrics by Alice Kimanzi

1 Comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Wewe ni Mungu Mkuu, mwenye kutenda mema
(You are a Great God, who does good)
Mito yako ni mema, umejawa na wema
(Your paths are good, you are full of good)
Fadhili nazo na wema, nami sasa nasema ahsante
(Your goodness and mercies, I say thank you)
(Repeat)

Nyota ya asubuhi (Yesu) (The Morning Star, Jesus)
Mfalme wa amani (Yesu) (The Prince of Peace, Jesus)
Jiwe la pembeni (Yesu) (The corner Stone, Jesus)
Mwanzo tena mwisho(Yesu) (The Beginning and the End, Jesus)

Refrain:
Sifa zote Baba, Chukua Baba zote chukua
(All the Praise, Receive all Father, receive)
Na utukufu, Chukua wastahili chukua
(Receive all the Glory, you deserve it)
Mamlaka yote, Chukua Baba zote chukua
(Receive all the Authority, receive)
Nayo heshima, Chukua wastahili chukua
(And You deserve all the respect, receive)
(Repeat)

(Verse 1)

Mfalme wa wafalme, Yesu (King of Kings, Jesus)
Kuhani Mkuu, Yesu (The High Priest, Jesus)
Mkombozi wetu, Yesu (Our savior, Jesus)
Mwanzo tena mwisho, Yesu (The Beginning and the End, Jesus)

(Refrain)

Bridge:
Twakuinaimia eh Yahweh (We bow before You Yahweh)
Twakuchezea Masiya (We dance to You Messiah)
(Repeat)

Kama wewe wampenda Yesu, cheza (If you love Jesus, dance)
Inua mikono umsifu, sifu (Lift your hands and praise him, praise)
(Repeat)

Kulia kushoto, tucheza (We dance from left to right)
Kule mbele na nyuma, tunasifu (We praise from the front to the back)

Mwenye baraka (Amen)(The Blessed One)
Mwenye uzima (Amen) (The Everlasting One)
Mwenye faraja(Amen)(The Comforting One)
Mwenya mamlaka(Amen) (The One with the Authority)

Advertisement

Nimfahamu Yesu (More About Jesus) Lyrics by Alice Kamande

Leave a comment


(Sung in Swahili – A Hymn)

Chorus:
Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu (More about Jesus would I know)
Nijue pendo lake na (More of His love and)
Wokovu wake kamili (His saving fullness)

Nataka nimjue Yesu (I want to know about Jesus)
Na nizidi kumfahamu (And to understand Him)
Nijue pendo lake na (To know about His love and)
Wokovu wake kamili (His saving fullness)

(Chorus)

Nataka nimwone Yesu (I want to see Jesus)
Na nizidi kusikia (And to listen to Him)
Anenapo kitabuni (As He speaks in the Book)
Kujidhihirisha kwangu (To reveal Himself to me)

(Chorus)

Nataka nimfahamu (I want to understand Him)
Na nizidi kupambanua(And to continue to understand)
Mapenzi yake nione (To see his love)
Yale yanayo pendeza (And all that is Good)

(Chorus)

Nataka nikae nawe (I want to stay with Him)
Kwa mazungumzo zaidi (For more communion)
Nizidi kuwaonesha (To continue to show)
Wengine wokovu wake (Others his salvation)

(Chorus)

%d bloggers like this: