(Sung in Swahili)

Refrain:
Usinipite mwokozi, unisikie
(Pass me not oh gentle Savior, Hear my cry)
Unapozuru wengine, naomba usinipite
(While on others though art calling, I pray – do not pass me by)
Yesu! Yesu! Naomba unisike
(Jesus! Savior! Hear my humble cry)
Unapozuru wengine, usinipite
(While on others though art calling, I pray – do not pass me by)

Ukiita peace, nitapata, joh nitapata (When you call peace, I will receive it)
Ishi vile unataka, vile unataka (To live the way you wish for me)
Bila wewe nitasuffer, oh nitasuffer (For without You I will suffer)
Mi taka ulipo, ndio mi nataka tuu kukaa (I want to be where You are) (Repeat)

(Refrain)

Kiti chako cha Rehema, nakitazama (I look upon Your throne of Mercy)
Magoti napiga pale, nisamehewe (There I am on my knees, to receive forgiveness) (Repeat)

(Refrain)

Nakutegemea kwa …. Mola wange, Mola wanje (My Lord I rely upon You)
Wanifariji duniani na mbinguni, ewe mola wanje, mola waje (You comfort me both here and in Heaven)
Nitapata maono Ukiingilia kati, maisha yange, maisha yange (I shall receive my visions if you are in my life)
Usinipite (Do not pass me by)

(Refrain)

Advertisement