(Sung in Swahili)

Ni Jemedari mkuu (He is the great General) x3
Ni Jemedari x3 mkuu (He is the great General) (Repeat)

Jehovah Nissi, Jehovah Nissi (The Lord my Banner)
Ni Jemedari mkuu (Is the Great General) (Repeat)

Vita hii si yangu, pekee yangu (The battle is not mine alone)
Unapigana wewe (You fight for me)
Maadui ni wengi, mbele yangu (The enemies before me are many)
Kwa nguvu zangu siwezi (I cannot overcome with my strength alone)
Nyuma kuna maadui, mbele bahari (Behind me are enemies, in front me an ocean)
Kwa mkono wako nitavuka (But by Your hand, I shall cross)
Ujasiri wangu, ni kwa neno lako (My courage is in Your word)
Ni kwa neno, ni kwa neno lako (It is in Your word, it is in Your word)
We Jemedari, Jemedari (You are the General, the General)

(Refrain)

Wanipigania, wanishindia vita (You fight for me, You win battles for me)
Jemedari Mkuu (The Great General) (Repeat)

Advertisement