Nitauimba Wimbo (I Will Sing the Song) Lyrics by Samson Maombi

Leave a comment


(Languages: Kiswahili, English)

Refrain:
Nitauimba wimbo huu wimbo ulio wa kusifu, roho nzito ya huzuni uwe huru
(I will sing this song of praise, to free heavy and sorrowful hearts)
N’taendelea kwa sifa iliyobeba siri, kwamba kwa Yesu kuna uhuru
(I’ll continue with the praise carrying the secret that in Jesus there’s liberty)
Nitalizima sauti zinazovuta watu, kwa shimo la kukata tamaa
(I will silence the voices that drag people to the pits of giving up)
Kwa wimbo mtamu wa furaha nakuja upesi, kwa ajili yangu na we
(In the sweet joyful song I come quickly for you and me)

Ni wimbo ambao umebeba ujumbe kwa pamoja katika usiku mkuu
(It is a song that has carried the word in the heavy night)
Na wimbo huu waweza tia matumaini mwanadamu anapoanguka
(And this song can give hope to a human when they fail)
Ni wimbo mtamu unaweza fungua minyororo kwa waliofungwa awali
(It is a sweet song that can break the chains of those who were bound)
Waweza kuwa na hakika kupitia wimbo njia yako ya kupitia
(Through the song, you can have assurance on your journey)

(Refrain)

Don’t tell me the world is a hopeless old place
And I might as well just give in
To the doom and gloom life’s a waiting room
For the blow that’ll do us all in
I can’t sympathize when before my eyes is a hope shining bright as day
I gotta follow that song that keeps drawing me home
With my feet dancing all the way

I’m gonna sing just as long as it takes for a song
To make sad and heavy spirits free
I’m gonna keep making new music that carries the secret that Jesus is Liberty
I’m gonna turn off the sounds that’ll drag people down
To the pit of despondency
With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me (Repeat)

With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me

I’m gonna sing just as long as it takes for a song
To make sad and heavy spirits free
I’m gonna keep making new music that carries the secret that Jesus is Liberty
I’m gonna turn off the sounds that’ll drag people down
To the pit of despondency
With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me

With the sweet happy tune
He is coming soon for His children like you and me

Olodumare (Creator) Lyrics by Joel Lwaga

1 Comment


(Languages: Kiswahili, Pidgin, English)

Hey, Baba Olodumare (Creator) my one and only
The Giver of Life, equal to none
Hapa nimesimama coz uko na mimi (I stand here because You are with me)
You never let me go
Mipaka yangu umeitanulia mbali (You have expanded my territory)
Even sky sio limit kwa hii kibali (Even the sky is not the limit on this favor)
Hata haters wanashangilia kwa undani (Even the haters are amazed)
Umewawin hao (For you have “won” them)

Pre-Refrain:
Sina kingine mimi najivunia, zaidi yako Baba
(I have nothing else that I am proud of, than You Father)
Ndio maana niku tuli nimetulia, we hunanga baya
(That is why I am calm, for You have no bad)
Hata wale wananionea husuda, shabaha yao mbaya
(Even the ones who envy me, their aim is crooked )
Watanipataje? Mwamba umenifunika
(How would they get me? The Rock has covered me)
Bure wata tire (They will tire for nothing)

Coz I know that

Refrain:
You got me wey You got me
You got me wey You got me, Papa
You got me wey You got me
That is why I’m never, never falling down (Repeat)

Nikiteleza Baba unaniinua (When I slide, Father You lift me)
Hujanitupa wala huanijutia (You have not given up, You do not regret me)
Kama ni toba zimejaa gunia (If it is repentance, they fill the sack)
Ukweli ni kwamba tu umenihurumia (The truth is that I have had mercy on me)
Ningekulipa nini kama ungetaka? (If you demanded payment, how could I pay You?)
Nilipe jema moja moja? (Do I pay good, one by one?)
Maana hata hii pumzi niyayovuta (For even this air that I breathe)
Hakuna dollar ingetosha (There is no money that could purchase it)

(Pre-Refrain + Refrain)

Mungu ni Mmoja (God is the Only God) Lyrics by Bella Kombo ft Evelyn Wanjiru and Neema Gospel Choir

3 Comments


Languages (English, Kiswahili)

Haiya yee…. The King of Glory is here
Haiya yee… haiya hee, eh haiya hee… He is here
Utamwambia nini ukimwona? (What will you say when you see Him?) x2
Tunnainama, tunasujudu (We shall bow, prostrating ourselves)
Mungu ni ni mmoja tu (God is the only God) (Repeat)

Refrain:
Haiya yee….
The King of Glory is here
Haiya yee… haiya hee, eh haiya hee…
He is here (Repeat)

So Mungu yuko mmoja tu (There is only one God)
Yeye MIMI NIKO AMBAYE NIKO (He is the I AM WHO I AM)
Pokelea sifa za mioyo yetu (Receive the praises of our hearts)
Mungu ni ni mmoja tu (God is the only God) (Repeat)

(Refrain)

Ashera oh, Dagoni oh (Ashera and Dagon)
Baali, miungu ya kigeni (Baal and all foreign gods)
Wameanguka, wamevunjika (They have fallen and are broken)
Mungu ni ni mmoja tu (God is the only God) (Repeat)

(Refrain)

Yeriko (Jericho) Lyrics by Israel Mbonyi

Leave a comment


(Languages: Kiswahili, Kinyarwanda)

Tumekuwa na muda tukiomba (It has been long that we have prayed)
tukikuomba uyatimize (Praying that You would answer us)
Asante! (We give You thanks)
Asante bwana, Kuyatoa yaliyo tulemea (Thank you Lord, for removing our obstacles)

Sasa tazama, milango yote imefunguka (Now Behold, all doors have been opened)
Asante (We give You thanks)
Asante Mungu, Kuyatoa yaliyo tulemea (Thank You God, for removing the obstacles)

Njooni mtazame Yeriko (Come and behold Jericho)
Kuta zinaanguka (The walls are falling)
Hizo zaanguka (There they fall)
Shangilieni, imbeni kwa shangwe (Rejoice and sing in in praise)
Hizo zaanguka (There they fall)
Twaingia kwa sifa ndani ya agano (We enter with praise into the promise)
Kuta zaanguka (The walls fall) (Repeat)

– In Kinyarwanda
Muze murebe Yeriko (Come and behold Jericho)
Inkike ziraguye (The walls are falling)
Ngizo ziraguye (There they fall)
Mutere hejuru, uririmbe (Rejoice and sing in in praise)
Ngizo ziraguye (There they fall)
Twinjiranye, amashimwe (We enter with praise into the promise)
Mumasezerano (The walls fall) (Repeat)

(Repeat in Kiswahili)

(Repeat in Kinyarwanda)

Nikurejeshee (I’ll Restore You) Lyrics by Neema Gospel Choir

8 Comments


(Sung in Swahili)

Nasikia kuitwa na sauti yake (I hear His voice calling)
Anasema njoo kwangu nikurejeshe (Saying “Come to me and I’ll restore You”)
Yaliobiwa, yaliyochukuliwa na mwovu (What was stolen, and taken by the evil)
Anasema, njoo kwangu nikurejeshe (Saying “Come to me and I’ll restore You”) (Repeat)

Refrain:
Nikurejeshe! Nikurejeshe (I’ll restore you)
Anasema njoo kwangu nikurejeshe (He says “Come to me and I’ll restore You”) (Repeat)

Amani ya moyo, iliyotoweka (The heart’s peace that had disappeared)
Usiitafute pengine, kwake Yesu utaipata (Do not seek elsewhere, you will find it at Jesus’)
Furaha ya kweli, iliyotoweka (The true joy that was missing)
Usiitafute pengine, kwake Yesu utaipata (Do not seek elsewhere, you will find it at Jesus’) (Repeat)

Ndipo hayo mema, yatakujilia (Then goodness will come to you)
Atarejesha vyote adui alivyochua (He will restore all that the enemy stole)
Ndipo hayo mema, yatakujilia (Then goodness will come to you)
Atarejesha amani ya moyo na furaha ilipotea (He will restore the lost peace and heartful joy)

(Refrain)

Older Entries Newer Entries