Msaada (Help) Lyrics by Paul Clement

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Tegemeo letu ni Mungu (Our hope is on God)
Hawezi kutuangusha (He will never let us down)
Wakati wengine, wanategemea nguvu zao (When others depend on their strengths)
Sisi za kwetu, zinatoka kwa Mungu (Ours come from God)
Hatima ya maisha yetu, ni mikononi mwake (Our life’s fate are in His hands)
Maana ametuchora kwenye viganja vyake (For He has drawn us on His palms)

Wanadamu walinisahau (People forgot me)
Kwenye mipango yao (In their plans)
Sababu waliona sifa ndani yao (For they elevated themselves)
Walinipo nitazama wakanidharau (And despised me)
Jambo moja najua kuhusu Mungu (But one thing I know about God)
Anasahau dhambi tu, ila si mtu (He forgives sins, and not a person)
Na vile nimefanana na yeye (And the way I am like Him)
Hawezi sahau sura yake (He will not forget His face)

Refrain:
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutafanya makuu (We shall do great things)
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutatenda makuu (We will do great things)

Maana neema yake iko juu yetu (For His grace is upon us)
Hatutaishia njiani (We shall not fall by the wayside)
Tena nguvu zake zimetufunika (And His power is over us)
Hatutaogopoa chochote (We shall not fear anything)
Palipo na milima atafanya tambarare (Where there are hills, he has made flat)
Atainyosha njia yetu (He straightens our paths)
Palipo na ugumu atafanya wepesi (Where there are hardships, he has made ease)
Hatutatumia nguvu zetu (We shall not use our strengths)
Maana atatubeba mabegani mwake, hatutaanguka (For He carries us on His shoulders, we shall not fall)

(Refrain)

(Nani Anaamini?) Mimi naamini (Who believes? I believe that)
Kwa msaada wake Mungu nitafanya makuu (With the Help of God, I shall do great things)
(Nani Anaamini?) Mimi naamini (Who believes? I believe that)
Awa msaada wake Mungu nitatenda makuu (With the help of God, I will do great things) (Repeat)

Umenipendelea (You Have Favored Me) Lyrics by Henrick Mruma ft Eliya Mwantondo

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Vyote nilivyo navyo, ulivyo nipea (All that I have, that You have given me)
Umenipendelea (You have favored me)
Uhai huu, neema hii, umenipendelea (This life, this Grace, )
Sijivunii kwa chochote ulichokifanya, ila (I do not boast of anything that You have given me, but)
Umenipendelea (You have favored me)
Afya hii, pumzi hii (This life, this breath)
Umenipendelea (You have favored me) (Repeat)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Sio kwa sababu nafunga sana (It is not because I fast a lot)
Sio kwa sababu ninatoa sana (It is not because I give a lot)
Ningekuwa nimekufa, ila neema yako (I would have been dead, if not for Your grace)
Ningekuwa nimechanganyikiwa, ila neema yako (I would have gone mad, if not by Your grace)
Sio kwa akili zangu mimi (It is not because of my intelligence)
Ati kwa sababu kwa nguvu nilizo nazo? (You thought it was because of my strength?)
Sio kwa sababu ya cheo changu (It is not because of my stature)
Sio kwa sababu mimi naweza sana (It is not because I am more able)
Umenipendelea (You have favored me)
Kweli, umenipendelea (Truly, You have favored me)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Wangekuwa wanacheka, ninachokifanya, ila (They would be laughing at what I do, but)
Wangeona naibika ila neema yako tu (They would have seen me ashamed, if not by Your grace)
Nilikuwa wa kutupwa, ila neema yako tu (I would have been abandoned, if not by Your grace)
Afya hii, pumzi hii (This life, this breath)
Uhai huu, neema hii (This life, this Grace)
Nilikuwa sifai, ila neema yako tu (I would have been worthless, but for Your grace)
Nilikuwa si kitu, ila neema yako (I would have been nothing, but for Your grace)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me) x3
Wangekuwa wanacheka huduma yangu, ila (They would be laughing at my ministry, but)
Wangekuwa wanadharau akili yangu, ila (They would be despising my intelligence, but)
Bwana umenipendelea (Lord, you have favored me)
Umenipendelea (You have favored me) x3

(Refrain)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Sio kwa sababu nina akili nyingi, ila (It is not because I am intelligence, but)
Sio kwa sababu mimi ninafaa sana (It is not because I am worthy)
Ningekuwa nimekufa, ila neema yako (I would have been dead, but by your grace)
Ningekuwa nimefeli, ila msaada wako (I would have failed, if not for your help)
Ningekuwa nimeshindwa kila kitu, ila (I would have been defeated, but)
Pumzi hii, afya hii (This breath, this life)
Uhai huu, neema hiiĀ  (This life, this Grace)
Umenipendelea (You have favored me)
Bwana umenipendelea (Lord You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)

(Refrain)

Kisa Sina (Because I Lack) Lyrics by Japhet Zabron

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Refrain:
Usin’cheke kisa sina (Don’t mock me because I lack)
Mungu aweza ridhia (God can grant my wishes)
Nami niwe na vyangu (That I may have my portion)
Maana najua vipo vya kwangu (For I know there is what)
Alishaniandikia (He has ordained for me)
Hata kama leo sina (But even if I lack today)
Mungu aweza ridhia (God can consent that)
Vyote vilivyo vyako viwe vya kwangu (What was Yours to be mine)
Kumbe vya kwangu, alishaniandikia (He has written it)

Nikiamka ni ibada mi nakabidthi mipango yote (I wake with prayer, committing all plans)
Kwa Mungu agawaye ..? kitu (To the God who apportions everything)
Ili angalau jua lisizame nikarudi (That the sun would not set and I return)
Bila ya chochote, mkono mitupu (With nothing, with empty hands)
Sio mzembe wa ibada wala shughuli za kidunia (I am not neglectful of worship or pursue worldly things)
Naishi kwa nguvu za mwenyezi Mungu (I live through the the power of Almighty God)
Ili angalau hata nikiomba nisimuudhi (So that I may not annoy Him in my prayer)
Mungu akakosa kujibu maombi (And God neglects to answer my prayer)

Kuna hali napitia yaniumiza (I’ve been through tough times)
Ila najua upo, we Mungu taimaliza (But I know you are there, God You will complete me)
Maana nakujua Baba (For I know You, Father)
Hujawahi shindwa na lolote (You have never been defeated by anything)
Hakuna mwingine zaidi, hapana (There is no one greater, no)
Na fedheha, aibu na dharau (And disgrace, shame and contempt)
N’ta zipitia kwa muda (I will go through them for a time)
Mungu najua ule wakati sahihi ukifika utanibariki (God I know that You will bless me at the right time)
Na n’tasahau machungu hapana (And I will completely forget my troubles)

(Refrain)

Mungu akikawia kulipa, sio kwamba hanipendi (If God delays His response is not because He doesn’t love me)
Wala sio kwamba simwamini, au sijui kuomba (And not because I don’t believe Him, or not know to pray)
Ye huliteleza kusudi lake, tena kwa wakati wake (He does His intent in His time)
Kama apendavyo, apendavyo Baba (As he wills, as the Father wills)
Huenda nimepiga simu nyingi, kukuomba msaada (It may have made many phone calls asking for help)
Hata nikakukera, unisamehe nilikukwaza (That I irritated you, forgive me for alienating you)
Ni shida zilinisumbua, sikupata hata pa kushika (It is my situation that troubled me that didn’t know what to do)
Si kupenda kwangu, nausubiri wakati wa Mungu (It is not what I would wish, for I wait for God)

(Refrain)

Wastahili (You are Worthy) Lyrics by Paul Clement ft Njoki Munyi and Joel Lwaga

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Leo twamwabudu, Mungu moja tu (Today we worship the only One God)
Kajivika nguvu, na utukufu (He is clothed in Power and Glory)
Amejawa sifa, kila upande (He is full of praise on all sides)
Duniani na mbinguni (On earth and in heaven) (Repeat)

Unasta-hili, unasta-hili (You are worthy!)
Kupewa sifa, kupewa sifa (To receive praise)

Repeat: Kupewa sifa (To receive the praise)
Wastahili (You deserve)
Heshima na mamlaka (The honor and the authority)
You who was, who is, and is to come, wastahili (You are worthy)
Kupewa sifa (To receive the praise) x5
To the one who is clothed in majesty
To the one who created the heavens and the earth
Anastahili kupewa sifa, heshima na mamlaka (He deserves to be given praise, honor and authority)
Kupewa sifa (To receive the praise) x4

Refrain:
Uliziumba mbingu na nchi (You created the heavens and the earth)
Kwa nguvu na kwa Neno lako (By your power and with Your word)
Wastahili (You are worthy) (Repeat)

Repeat: Wastahili! (You are worthy)
Wastahili (You are worthy) x2
Bwana, Wastahili (Lord, You are worthy)
Wastahili (You are worthy)
Hakuna kama wewe (There is non like You)
Bwana wastahili (Lord You are worthy)
Wastahili (You are worthy) x2
Bwana, Wastahili (Lord, You are worthy)
Wastahili (You are worthy)

Repeat: Refrain
Ikatoka jua (And the sun came to be)
Zikatoka nyota (And the stars were placed)
Wakatoka wanyama (And the animals came to life)
Ikatoka nchi (And land came to be)

Wastahili! (Wastahili) (You are worthy) x?

(Refrain)

 

Shuka Yesu (Come Jesus) Lyrics by Agape Gospel Band

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Baba wa mbinguni (Heavenly Father)
Nyosha mkono wako (Stretch Your hand)
Watu wauone (That people may see)
Walisifu Jina lako (And praise Your Name) (Repeat)

Refrain:
Baba wa mbinguni (Heavenly Father)
Nyosha mkono wako (Stretch Your hand)
Watu wauone (That people may see)
Watukuze Jina lakoĀ  (And honor Your Name) (Repeat)

Yahweh na bikamwa (Heavenly Father)
Sebola loboko nayo (Heavenly Father)
Bato nioso bamona yango (That people may see)
Bakumisa kombo nayo (And praise Your Name)

Baba kule mbinguni, tunakuhitaji Yesu (Father in Heaven, we need You Jesus)
Shuka utende kwa maisha ya mama yule na baba yule (Come and act in the lives of that woman and that man)
Wajue, tunaye Mungu wa kweli (That they may know that You are the true God)
Anaye fanya mambo ya ajabu (That does amazing things)

Usipotenda Yesu, atahiari jina lako (If You do not act Jesus, they will forget Your Name)
Hatujakosea Baba kukuchagua kama Bwana na Mwokozi, Yesu (We are now wrong Father, choosing You as our Savior Jesus)
Shuka utende mataifa wajue kwamba wewe (Come and act, that the nations may know that You)
We ni Mungu wa ajabu (You are God of Wonderss)

(Refrain)

Baba twakuhitaji (Father we need You)
Shuka utende (Descend and act) (Repeat)

Repeat: Ah! Shuka utende (Ah! Come and act!)
Shuka utende leo (Come and act today) x?
Mama/baba/kaka/mama yule akuone leo (Mother/father/brother to see You today)
Akuone katika ndoa yake (To see You in their marriage)
Akuone katika biashara yake (To see You in their business)
Shuka utende (Come down and act) x?

Shuka utende! Utende!Ā (ComeĀ  and act! And act!) (Repeat)

Repeat: Ah! Shuka utende (Ah! Come and act!)
Shuka utende leo (Come and do today)
Shuka utende leo (Come and do today)
Baba shuka utende leo (Father, come and act today)
Baba shuka utende leo (Father, come and act today)
Shuka (shuka)! Shuka (shuka)! Shuka (shuka)! (Come down!)
Shuka utende (ComeĀ  and act)
Shuka (shuka)! Shuka (shuka)! Shuka (shuka)! (Come down!)
Shuka utende(Come and act)Ā (Repeat)

Repeat: Shuka Yesu eh! (Jesus come)
Shuka Yesu eh! (Jesus come) x3
Shuka Yesu utujibu leo (Come Jesus and answer us today)
Shuka Yesu ujibu maombi (Come Jesus and answer prayers)
Shuka Yesu tukuone leo (Come Jesus, let us see You today)
Shuka Yesu nikuone kwa macho (Come Jesus, let me see you with my eyes)
Shuka Yesu dada/kaka/brother yule akuone (Come Jesus that the girl/brother to see You)
Shuka Yesu eh! (Come Jesus) x3

Older Entries