Kaa Nami (Abide in Me) Lyrics by Mercy Lai

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Chorus:
Kaa nami, mwokozi Yesu (Abide in me Savior, Jesus)
Oh wa uzima, u mwema kwangu (Of Life, you are good to me)

Refrain:Ukae nami Messia (Abide in me Saviour)
Nakupenda Yesu, ulinifia mimi (I love You Jesus, You died for me)
Nakupenda Yesu, uliniokoa mimi (I love You Jesus, You saved me)

(Chorus)

Refrain:Ukae nami Messia (Abide in me Saviour)
Naposongwa songwa na shida za dunia (When I’m troubled by the world)
Na maadui wangu wanaponiandama (When my enemies surround me)
Wajaponiinukia na kuniangamiza (When they rise against me to finish me)
Sina shaka najua, wewe Jehova Nissi (I know without a doubt that you are the Lord, my Banner)

(Chorus)

Refrain:Ukae nami Messia (Abide in me Saviour)
Ninapoamka, fadhili nipe kila siku (When I rise, grant me your mercy everyday)
Na ninapotembea, nuru nimulikie (When I walk, light my path)
Maji wa uzima, mkate wa uhai (Living water, Bread of Life)
Jina lako Emmanueli, Mungu pamoja nasi (Your name is Emmanuel, God with us)

(Chorus)

Kaa nami (Abide With Me) Lyrics by Angela Chibalonza

2 Comments(Sung in Swahili) – The Hymn “Abide With Me” by Henry Francis Lyte

Kaa nami ni usiku sana (Abide with me; fast falls the eventide;)
Usiniache gizani bwana (The darkness deepens; Lord with me abide.)
Msaada wako haukomi (When other helpers fail and comforts flee,)
Nili pekee yangu, kaa nami (Help of the helpless, O abide with me.)

Siku zetu hazikawii kwisha (Swift to its close ebbs out life’s little day;)
Sioni la kunifurahisha (Earth’s joys grow dim; its glories pass away;)
Hakuna ambacho hakikomi (Change and decay in all around I see;)
Usiye na mwisho, kaa nami (O Thou who changest not, abide with me.)

(Prayer)

Nina haja nawe kila saa (I need Thy presence every passing hour.)
Sina mwingine wa kunifaa (What but Thy grace can foil the tempter’s power?)
Mimi nitaongozwa na nani (Who, like Thyself, my guide and stay can be?)
Ila wewe bwana, kaa nami (Through cloud and sunshine, Lord, abide with me.)

Sichi neno uwapo karibu (I fear no foe, with Thee at hand to bless;)
Nipatalo lote si taabu? (Ills have no weight, and tears no bitterness.)
Kifo na kaburi haviumi (Where is death’s sting? Where, grave, thy victory?)
nitashinda kwako, kaa nami (I triumph still, if Thou abide with me.)

(Prayer)

Nilalapo nikuone wewe (Hold Thou Thy cross before my closing eyes;)
Gizani mwote nimulikie (Shine through the gloom and point me to the skies.)
NUru za mbinguni hazikomi (Heaven’s morning breaks, and earth’s vain shadows flee;)
Siku zangu zote kaa nami (In life, in death, O Lord, abide with me.)

(Prayer)

%d bloggers like this: