Msaada (Help) Lyrics by Paul Clement

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Tegemeo letu ni Mungu (Our hope is on God)
Hawezi kutuangusha (He will never let us down)
Wakati wengine, wanategemea nguvu zao (When others depend on their strengths)
Sisi za kwetu, zinatoka kwa Mungu (Ours come from God)
Hatima ya maisha yetu, ni mikononi mwake (Our life’s fate are in His hands)
Maana ametuchora kwenye viganja vyake (For He has drawn us on His palms)

Wanadamu walinisahau (People forgot me)
Kwenye mipango yao (In their plans)
Sababu waliona sifa ndani yao (For they elevated themselves)
Walinipo nitazama wakanidharau (And despised me)
Jambo moja najua kuhusu Mungu (But one thing I know about God)
Anasahau dhambi tu, ila si mtu (He forgives sins, and not a person)
Na vile nimefanana na yeye (And the way I am like Him)
Hawezi sahau sura yake (He will not forget His face)

Refrain:
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutafanya makuu (We shall do great things)
Ah! Eh! Kwa msaada wa Mungu (Ah! Eh! With God’s help)
Tutatenda makuu (We will do great things)

Maana neema yake iko juu yetu (For His grace is upon us)
Hatutaishia njiani (We shall not fall by the wayside)
Tena nguvu zake zimetufunika (And His power is over us)
Hatutaogopoa chochote (We shall not fear anything)
Palipo na milima atafanya tambarare (Where there are hills, he has made flat)
Atainyosha njia yetu (He straightens our paths)
Palipo na ugumu atafanya wepesi (Where there are hardships, he has made ease)
Hatutatumia nguvu zetu (We shall not use our strengths)
Maana atatubeba mabegani mwake, hatutaanguka (For He carries us on His shoulders, we shall not fall)

(Refrain)

(Nani Anaamini?) Mimi naamini (Who believes? I believe that)
Kwa msaada wake Mungu nitafanya makuu (With the Help of God, I shall do great things)
(Nani Anaamini?) Mimi naamini (Who believes? I believe that)
Awa msaada wake Mungu nitatenda makuu (With the help of God, I will do great things) (Repeat)

Wastahili (You are Worthy) Lyrics by Paul Clement ft Njoki Munyi and Joel Lwaga

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Leo twamwabudu, Mungu moja tu (Today we worship the only One God)
Kajivika nguvu, na utukufu (He is clothed in Power and Glory)
Amejawa sifa, kila upande (He is full of praise on all sides)
Duniani na mbinguni (On earth and in heaven) (Repeat)

Unasta-hili, unasta-hili (You are worthy!)
Kupewa sifa, kupewa sifa (To receive praise)

Repeat: Kupewa sifa (To receive the praise)
Wastahili (You deserve)
Heshima na mamlaka (The honor and the authority)
You who was, who is, and is to come, wastahili (You are worthy)
Kupewa sifa (To receive the praise) x5
To the one who is clothed in majesty
To the one who created the heavens and the earth
Anastahili kupewa sifa, heshima na mamlaka (He deserves to be given praise, honor and authority)
Kupewa sifa (To receive the praise) x4

Refrain:
Uliziumba mbingu na nchi (You created the heavens and the earth)
Kwa nguvu na kwa Neno lako (By your power and with Your word)
Wastahili (You are worthy) (Repeat)

Repeat: Wastahili! (You are worthy)
Wastahili (You are worthy) x2
Bwana, Wastahili (Lord, You are worthy)
Wastahili (You are worthy)
Hakuna kama wewe (There is non like You)
Bwana wastahili (Lord You are worthy)
Wastahili (You are worthy) x2
Bwana, Wastahili (Lord, You are worthy)
Wastahili (You are worthy)

Repeat: Refrain
Ikatoka jua (And the sun came to be)
Zikatoka nyota (And the stars were placed)
Wakatoka wanyama (And the animals came to life)
Ikatoka nchi (And land came to be)

Wastahili! (Wastahili) (You are worthy) x?

(Refrain)

 

Amefanya Mungu (God Has Done It) Lyrics by Paul Clement

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Je, ni nani angeweza (Who else would be able)
Kututoa chini mavumbini? (To lift us from the dust?)
Maana kila mtu alitukataa (For everone else rejected us)
Ila Mungu akatukumbatia/akatuinua/ (But God embraced us/Lifted us up) (Repeat)

Je, ni nani angeweza (Who else would be able)
Kutupatia nafasi? (To give us the opportunity?)
Maana kila mtu alikataa (For every person rejected)
Ila Mungu akatupatia (But God granted us)

Pre-Refrain:
Hakuangalia elimu zetu (He did not regard our education)
Hakuangalia mionekano yetu (He did not regard our way of life)
Aliangalia mioyo yetu (He searched our hearts)
Kwake tukapata kibali (And Him we received approval)

Refrain:
Amefanya Mungu, amefanya (He has done it, God has done it)
Amefanya Mungu, amefanya (He has done it, God has done it)
Haikuwa rahisi, kwa akili zetu (It was not possible with our knowledge)
Amefanya Mungu, amefanya (He has done it, God has done it)  (Repeat)

Je, ni nani angeweza (Who else would be able)
Kutukubali jinsi tulivyo? (To accept us the way we are?)
Maana kila mtu alitukataa (For everyone rejected us)
Ila Mungu akatukubali (But God accepted us)

Si elimu zetu (It is not by our education)
Si ujuzi wetu (It is not by our knowledge)
Ila neema yake, imetuweka hapa (But for His mercy, we are placed here)
Haikuwa rahisi (It was not easy)

Vile namna neema yako inafanya (The way your grace operates)
Hakuna elimi inaweza fanya (There is no education that can do it)
Hata kama ikishindana (Even if it has to compete)
Hata kama ikipambana (Even if it has to wrestle)
Neema Yako inashinda (Your grace will be victorious)

(Pre-Refrain) + (Refrain)

Ninakuabudu (To Worship You) Worship Medley By Essence of Worship ft Naomi Wasonga, Paul Clement and Joe Mettle

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Heshima ya hali ya juu, Bwana wastahili
(Greatest honor, Lord is what you deserve)
Ibada ua moyo wangu, Bwana nakutolea
(My heart’s worship, Lord I give to you) (Repeat)

Nakuabudu, nakuabudu, nakuabudu, nakuabudu (I worship You x4) (Repeat)

Nakupenda, nakupenda, nakupenda, nakupenda (I love You x4) (Repeat)

Repeat: Wastahili (You deserve)
Wastahili kuabudiwa Bwana (You deserve the worship Lord)
Sijaona mwingine anayestahili (I have seen none other that deserves it)
Naliabudu jina lako (I worship Your Name)
Agano wa mfano wako (The covenant of your example)

Repeat: Mtakatifu (Holy)
Bwana wa majeshi (Lord of Hosts)
Mbingu na nchi zimejawa utukufu wako (Heaven and earth are full of Your Glory)
Mtakatifu ni wewe (You are Holy)

Hallelujah! Hallelujah! x?
Wastahili (You deserve) x?

Nikujue, nikuabudu, nikufahamu, nikuabudu
(To know You, to worship You, to understand You)

Mimi sina mwingine, ila wewe bwana (I do not have anyone else, but You Lord)
Kimbilio jingine, ila wewe Bwana (Another refuge, except You Lord)
Napenda nikae nawe, ewe Bwana wangu (I desire to stay with you, Oh my Lord)
Napenda roho wako, akae ndani yangu (I desire your Spirit, to abide within me) (Repeat)

Repeat: Sina mwingine (I have no other)
Sina mwingine (I have no other) x4
Msaada mwingine sina (I have no other help)
Tegemeo lingine sina (I have none other I depend upon)
Kimbilio lingine sina (I have no other refuge)
Mtetezi mwingine sina (I have no other advocate)

Oh Yesu! Oh Yesu! (Oh Jesus!) x?
We call upon Your Name
Jina lako lina nguvu (Your Name is powerful)
Jina lako lina ponya (Your Name heals)
Twakuita Yesu, jina lako ni Yesu (We call you Jesus, Your Name is Jesus)
Twakuabudu Yesu (We worship You Jesus)
Twakuita Yesu (We call upon You Jesus)
Hakuna mwingine zaidi yako (There is none greater than You)

Wewe ni Mungu mwenye nguvu (You are a mighty God) x?

Ninakuamini, Yesu tu (I trust in You, only Jesus)
Una nguvu, una nguvu (You are mighty, You are mighty) (Repeat)

Ni wewe, usiyeshindwa (It is You who cannot be defeated) x?

Mwema (Good) Lyrics by Paul Clement ft. Bella Kombo

5 Comments


(Sung in Swahili)

Wema wako, si kwa wakati wa furaha tu
(Your Goodness, is not only present in times of joy)
Wema wako, pia wakati hata wa majonzi
(Your Goodness is also present in times of grief)
Wema wako, haupimiki, kwa majira fulani tu
(Your Goodness cannot be measured in time)
Wema wako, ni kila wakati, na kila nyakati
(Your Goodness is present at all times, in all seasons)
Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
(Even now He is Good; when we sing He is Good)
Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
(When we weep, he is Good; when we laugh, He is Good)
Tunapopanda ni mwema, tunapovuna ni mwema
(When we plant, He is Good; When we harvest, He is Good)

Refrain:
Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema
(You are Good, You are Good, You are Good)
Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema (Repeat)
(You are Good, You are Good, You are Good)
Unatupenda x2 Wewe ni mwema (Repeat)
(You love us x2 You are Good)

Wema wako, ni kama mchanga, siwezi kuhesabu
(Your Goodness is like the soil; I cannot count it)
Wema wako, ni kama maji, yanayomiminika bila kukoma,
(Your Goodness is like the water; that flows without ceasing)
Mtu akinge, ama asikinge, hayataacha kutoka
(Should someone obstruct it or not, it will not cease)
Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
(Even now, He is Good; When we sing He is Good)
Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
(When we weep, He is Good; when we laugh, He is Good)

(Refrain)

Older Entries