Mwema (Good) Lyrics by Paul Clement ft. Bella Kombo

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Wema wako, si kwa wakati wa furaha tu
(Your Goodness, is not only present in times of joy)
Wema wako, pia wakati hata wa majonzi
(Your Goodness is also present in times of grief)
Wema wako, haupimiki, kwa majira fulani tu
(Your Goodness cannot be measured in time)
Wema wako, ni kila wakati, na kila nyakati
(Your Goodness is present at all times, in all seasons)
Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
(Even now He is Good; when we sing He is Good)
Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
(When we weep, he is Good; when we laugh, He is Good)
Tunapopanda ni mwema, tunapovuna ni mwema
(When we plant, He is Good; When we harvest, He is Good)

Refrain:
Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema
(You are Good, You are Good, You are Good)
Wewe ni mwema, u mwema, wewe ni mwema (Repeat)
(You are Good, You are Good, You are Good)
Unatupenda x2 Wewe ni mwema (Repeat)
(You love us x2 You are Good)

Wema wako, ni kama mchanga, siwezi kuhesabu
(Your Goodness is like the soil; I cannot count it)
Wema wako, ni kama maji, yanayomiminika bila kukoma,
(Your Goodness is like the water; that flows without ceasing)
Mtu akinge, ama asikinge, hayataacha kutoka
(Should someone obstruct it or not, it will not cease)
Hata sasa ni mwema, tunapoimba ni mwema
(Even now, He is Good; When we sing He is Good)
Tunapolia ni mwema, tunapocheka ni mwema
(When we weep, He is Good; when we laugh, He is Good)

(Refrain)

Wewe ni Mwema (You are Good) Lyrics by Israel Ezekia

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Naja mbele zako Mungu wangu (I come before You, my God)
NIkiwa nazo heshima zote (Bringing all the honor)
Ninakiri yale uyatendayo (I confess that in all You do)
Hakika wewe ni mwema (Truly You are Good)
(Repeat)

Refrain:
Wewe ni mwema, haufananishwi (You are Good, You cannot be compared)
Wewe ni mwema, Baba (Father You are Good)

Wewe ndiwe Baba wa mataifa (You are the Father of nations)
Unatenda mambo ya ajabu (You do amazing things)
Ninakiri yale uyatendayo (I confess that in all that You do)
Hakika wewe ni mwema (Truly You are Good)
(Repeat)

(Refrain)

(Verse 1)

Asante Yesu (Thank You Jesus)

%d bloggers like this: