(Sung in Swahili)

Refrain:
Pokea sifa (Receive the praise)
Bwana pokea sifa (Lord, receive the praise)
Jina lako litukuzwe (May your Name be glorified)
Bwana pokea sifa (Lord receive our praise)

Repeat: Bwana pokea sifa (Lord receive our praise)
Umeumba vyote viishivyo (You created all living things)
Dunia, jua na mwezi (The earth, the sun and the moon)

(Refrain)

Repeat: Bwana pokea sifa (Lord receive our praise)
Malaika wakuabudu (The angels worship You)
Ulimwengu, tunakuabudu (The earth adore You)

(Refrain)

Repeat: Bwana pokea sifa (Lord receive our praise)
Enzi yako ni ya milele (Your dominion is forever)
Milele hata milele (Forever and ever)

(Refrain)

Spoken:
Oh Baba yetu (Oh our Father)
Twaja kwako tukiungana (We congregate before You)
Na maumbile yote uliyofanya kwa mkono wako (And all the creatures You created with Your hands)
Sisi kitu gani hata utujali? (Who are we, that You care for us?)
Tunasema ewe pekee, pokea sifa zako (We say that only You, deserve the praises, receive them)

Repeat: Bwana pokea sifa (Lord receive our praise)
Utukufu wote ni kwako (All the Glory to You)
Sifa zote zako milele Baba (Your praise forever Father)

(Refrain)

Advertisement