Yebo /Nitawale (Yes, Lead Me) Lyrics by Vestine and Dorcas

5 Comments


(Sung in Swahili and some Zulu)

Mwokozi wangu, nakuhitaji zaidi (My savior, I greatly need You)
Na Mwoyo wangu, unalia uwepo wako (And my heart, cries for your presence)
Nimejaribu on my own, lakini siwezi (I have tried on my own, and cannot do it)
Nakutegemea, usiniache kamwe (I rely upon you, never abandon me)

Nikiwa bado napumua (While there is still breath in me)
Jina lako ndilo nitajivunia (It is Your Name that I will boast upon)
Tena sitaki kitu cha kunikataza (Nor will I accept what will prevent me)
Kuwa chombo chako (From being Your vesssel)

Sauti yako ikaniita (Your voice called me)
Vingine vyote mimi kakataa (And I abandoned all else)
Nifiche ndani ya mabawa yako (Hide me in your feathers)
Nifike mwisho wa safari (Until the end of my journey)

Najua kwamba mimi ni wako (I know that I am Yours)
Unanipenda tena Sana (You love me greatly)
Nuru yako imenitoa gizani (Your light has brought me from darkness)
Sitaogopa kamwe (I will not be afraid) (Repeat)

Refrain:
Nitawale sasa, na hata milele Bwana (Rule over me now and into forever, Lord)
Overpower all of me, the way you truly desire
Natamani kuongozwa (I desire to be led)
Na Mkono wako Wenye nguvu (By Your mighty hand)
Breath the Fresh Air into my heart
Amen! Amen! Amen!
Yebo yebo Jesu, Yebo yebo Jesu (Yes yes, Jesus) — In Zulu
Yebo Yebo, ngidinga wena! (Yes yes , I need You)
Yebo yebo Jesu, Yebo yebo Jesu (Yes yes, Jesus)
Yebo yebo, ngidinga wena! (Yes yes , I need You)

Ee Mungu nitumikishe (Oh father use me)
Katika faida za mbingu (To the benefit of the heavens)
Nisimamie vizuri (To be a good steward)
Ufalme wako ndani ya ulimwengu (Your kingdom on earth)

Nijaze nguvu nipambane (Fill me with the strength to battle)
Udhaifu wangu uondoe (Remove my weaknesses)
Nidharau mishale ya machungu (For me to despise the arrows of bitterness)
Adui anaonipiga (And enemies who oppose me)

Hawa wanataja magari (While they trust chariots)
Wengine wanataja mafarasi (And the others trust horses)
Bali sisi tunalitaja (But we declare)
Hilo jina la Bwana (The Name of the Lord) (Repeat)

(Refrain)

Najua kwamba mimi ni wako (I know that I am Yours)
Unanipenda tena Sana (You love me greatly)
Nuru yako imenitoa gizani (Your light has brought me from darkness)
Sitaogopa kamwe (I will not be afraid) (Repeat)

Repeat: Sitaogopa kamwe (I will not be afraid)
Bonde la mauti (The valley of death)
Kwenye shimo la simba (The lion’s den)
Katika giza tupu (The pure darkness)
Ndani ya bahari kuu (The deep sea)

(Refrain)

Umenipendelea (You Have Favored Me) Lyrics by Henrick Mruma ft Eliya Mwantondo

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Refrain:
Vyote nilivyo navyo, ulivyo nipea (All that I have, that You have given me)
Umenipendelea (You have favored me)
Uhai huu, neema hii, umenipendelea (This life, this Grace, )
Sijivunii kwa chochote ulichokifanya, ila (I do not boast of anything that You have given me, but)
Umenipendelea (You have favored me)
Afya hii, pumzi hii (This life, this breath)
Umenipendelea (You have favored me) (Repeat)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Sio kwa sababu nafunga sana (It is not because I fast a lot)
Sio kwa sababu ninatoa sana (It is not because I give a lot)
Ningekuwa nimekufa, ila neema yako (I would have been dead, if not for Your grace)
Ningekuwa nimechanganyikiwa, ila neema yako (I would have gone mad, if not by Your grace)
Sio kwa akili zangu mimi (It is not because of my intelligence)
Ati kwa sababu kwa nguvu nilizo nazo? (You thought it was because of my strength?)
Sio kwa sababu ya cheo changu (It is not because of my stature)
Sio kwa sababu mimi naweza sana (It is not because I am more able)
Umenipendelea (You have favored me)
Kweli, umenipendelea (Truly, You have favored me)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Wangekuwa wanacheka, ninachokifanya, ila (They would be laughing at what I do, but)
Wangeona naibika ila neema yako tu (They would have seen me ashamed, if not by Your grace)
Nilikuwa wa kutupwa, ila neema yako tu (I would have been abandoned, if not by Your grace)
Afya hii, pumzi hii (This life, this breath)
Uhai huu, neema hii (This life, this Grace)
Nilikuwa sifai, ila neema yako tu (I would have been worthless, but for Your grace)
Nilikuwa si kitu, ila neema yako (I would have been nothing, but for Your grace)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me) x3
Wangekuwa wanacheka huduma yangu, ila (They would be laughing at my ministry, but)
Wangekuwa wanadharau akili yangu, ila (They would be despising my intelligence, but)
Bwana umenipendelea (Lord, you have favored me)
Umenipendelea (You have favored me) x3

(Refrain)

Repeat: Umenipendelea (You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)
Sio kwa sababu nina akili nyingi, ila (It is not because I am intelligence, but)
Sio kwa sababu mimi ninafaa sana (It is not because I am worthy)
Ningekuwa nimekufa, ila neema yako (I would have been dead, but by your grace)
Ningekuwa nimefeli, ila msaada wako (I would have failed, if not for your help)
Ningekuwa nimeshindwa kila kitu, ila (I would have been defeated, but)
Pumzi hii, afya hii (This breath, this life)
Uhai huu, neema hiiĀ  (This life, this Grace)
Umenipendelea (You have favored me)
Bwana umenipendelea (Lord You have favored me)
Umenipendelea (You have favored me)

(Refrain)

Amefanya Mungu (God Has Done It) Lyrics by Wapendwa Muziki

Leave a comment


(Sung in Swahili)

Amenivua vazi la aibu (He has stripped me of the garment of shame)
Na moyo wangu akatibu (And healed my heart)
Sina budi ila nimsifu (I have no choice but to praise Him)

Refrain:
Ona, vile amefanya Mungu (Look at what God has done) x2
Ni yeye, ni yeye, amefanya Mungu (It is Him, it is God that has done it) x2 (Repeat)

Nina jambo, nina jambo ninatamani niseme (I have a word that I desire to say)
Jamani nina jambo, ninatamani niseme (Truly, I have something I want to say)
Umenifunika na neema yako (You have covered me with Your Grace)
Tena umenifadhili mimi (You have preserved me)
Umeondoa vizuizi (You have removed obstacles)
Kwa mkono wako Baba umenibariki (Father You have blessed me with Your hand)

Umenihurumia mimi (You have compassion over me)
Umenikumbumbuka mimi (You have remembered me)
Umeondoa vizuizi (You have removed obstacles)
Kwa mkono wako Baba umenibariki (Father You have blessed me with Your hand)

(Refrain)

Ame-amenipendelea (He has favored me)
Yesu, ame-amenipendelea (Jesus has favored me)

Nimependeza, kwake nina metameta (I am beautified, in him I shine) x?

(Refrain)

Nimependeza, kwake nina metameta (I am beautified, in him I shine) x?

Kaa (Abide) Lyrics by Christina Shusho

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Kaa, kaa, kaa! (Abide, abide, abide!) x4

Kaa, kaa, Bwana (Abide, Lord)
Kaa ndani yangu (Abide in me)
Usiondoke kwangu (Do not leave me)
Kaa nami (Abide in me)

Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay) x4

Mji ulioununua (It is the city that you purchased)
Ukaujjenga mwenyewe, Bwana (Lord, You built it Yourself)
Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay)
Mji ukautengeneza (You beautified the city)
Ukaupamba kwa gharama kubwa (And decorated it at great cost)
Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay)
Kaa kaa, Bwana (Stay, Lord stay)
Kaa ndani yangu (Abide in me)
Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay)

Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay) x4
(Fanya makao) (Make it Your place)
Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay)

We si mgeni tena (You are no longer a guest)
Bwana mwenye milki halali (The Lord with the rights)
Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay)
Hati miliki unayo (You have the title deed)
Upange kila kitu ndani, Bwana (Rearrange everything within me, Lord)
Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay)
Usiwe mgeni tena (You are no longer a guest)
Usiwe wa kutembea mara kwa mara (You should not be an acquaintance)

Kaa, kaa, kaa! (Stay, stay, stay) x4

Kisa Sina (Because I Lack) Lyrics by Japhet Zabron

Leave a comment


(Sung in Kiswahili)

Refrain:
Usin’cheke kisa sina (Don’t mock me because I lack)
Mungu aweza ridhia (God can grant my wishes)
Nami niwe na vyangu (That I may have my portion)
Maana najua vipo vya kwangu (For I know there is what)
Alishaniandikia (He has ordained for me)
Hata kama leo sina (But even if I lack today)
Mungu aweza ridhia (God can consent that)
Vyote vilivyo vyako viwe vya kwangu (What was Yours to be mine)
Kumbe vya kwangu, alishaniandikia (He has written it)

Nikiamka ni ibada mi nakabidthi mipango yote (I wake with prayer, committing all plans)
Kwa Mungu agawaye ..? kitu (To the God who apportions everything)
Ili angalau jua lisizame nikarudi (That the sun would not set and I return)
Bila ya chochote, mkono mitupu (With nothing, with empty hands)
Sio mzembe wa ibada wala shughuli za kidunia (I am not neglectful of worship or pursue worldly things)
Naishi kwa nguvu za mwenyezi Mungu (I live through the the power of Almighty God)
Ili angalau hata nikiomba nisimuudhi (So that I may not annoy Him in my prayer)
Mungu akakosa kujibu maombi (And God neglects to answer my prayer)

Kuna hali napitia yaniumiza (I’ve been through tough times)
Ila najua upo, we Mungu taimaliza (But I know you are there, God You will complete me)
Maana nakujua Baba (For I know You, Father)
Hujawahi shindwa na lolote (You have never been defeated by anything)
Hakuna mwingine zaidi, hapana (There is no one greater, no)
Na fedheha, aibu na dharau (And disgrace, shame and contempt)
N’ta zipitia kwa muda (I will go through them for a time)
Mungu najua ule wakati sahihi ukifika utanibariki (God I know that You will bless me at the right time)
Na n’tasahau machungu hapana (And I will completely forget my troubles)

(Refrain)

Mungu akikawia kulipa, sio kwamba hanipendi (If God delays His response is not because He doesn’t love me)
Wala sio kwamba simwamini, au sijui kuomba (And not because I don’t believe Him, or not know to pray)
Ye huliteleza kusudi lake, tena kwa wakati wake (He does His intent in His time)
Kama apendavyo, apendavyo Baba (As he wills, as the Father wills)
Huenda nimepiga simu nyingi, kukuomba msaada (It may have made many phone calls asking for help)
Hata nikakukera, unisamehe nilikukwaza (That I irritated you, forgive me for alienating you)
Ni shida zilinisumbua, sikupata hata pa kushika (It is my situation that troubled me that didn’t know what to do)
Si kupenda kwangu, nausubiri wakati wa Mungu (It is not what I would wish, for I wait for God)

(Refrain)

Older Entries Newer Entries