Pre-Song
Halleluya, Ndugu yangu Biblia inasema (Haleluja, My brother the Bible says )
waabudio wa halisi watamwabudu Bwana (Those who worship the Lord)
katika roho na kwa kweli ( will do so in spirit and in truth)
Na ni wakati huu – ukiwa ndani ya gari lako, (At this moment – if you are in your car)
ukiwa ndani ya basi unasafiri, (In a bus travelling)
ukiwa unafanya kazi ndani ya ofisi yako ( or in your office working )
Jiunge pamoja nami tumwinue Bwana (Join me to lift the Lord )
tumwambie unastahili uko mwenye nguvu ( and tell him He deserves it he is mighty)
Ukiwa uliamka asubuhi (If you woke up this morning)
na haukumwambia kitu Mungu, ( and you didn’t tell God anything )
ni wakati wa kumwambia Bwana: (This is the time to tell Him )
Utukuzwe, uinuliwe ( “You are praiseworthy, be lifted up”)
Tujiunge pamoja kwa wakati huu (Join me now in telling God)
tumwambie Bwana “Wastahili” ( “You deserve [all the honor]”)
Ikiwa uko katika maombi ya kufunga na kuomba, (If you are fasting and praying)
hebu tujiunge pamoja, Twende Haleluya ( join me Let’s go Halelujah)
Verse 1:
Mungu wetu mwenye nguvu, ni Baba wa milele (Our mighty God, is the everlasting Father)
(Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele) – (Refrain 1 )
Mwenye nguvu, Ebeneza wa milele (He has the mighty, everlasting Ebenezer)
Wanipa mema, wewe ni mwenye nguvu, Baba wa milele (You grant me good things, you are mighty everlasting Gather)
Nguvu zako zashangaza dunia,
uliumba mbigu pasi kugusa, hewani Baba (Your might astonishes the world, you created the world by the word of your mouth )
Refrain 2:
Neema, fadhili zako, kila asubuhi ( Your goodness and mercies, every morning)
Ulizotenda zanifariji moyo niamkapo (And your works comfort me when I awake)
Verse 2:
Nikikosewa na maisha, wanipa tumaini la kupata maisha Baba (When I am slighted in life, you give me hope in life)
Japo wanicheka majirani ( Though my neighbors laugh at me)
Wewe upo upande wangu, Uhimidiwe Yahweh ((You are in my side, Be praised Yahweh))
Verse 3:
Wanipa tumaini la maisha Baba yangu duniani ( You give me hope in life My Father)
Natembea nawe Baba yangu, ( I walk with you my Father)
Hujaniacha mimi ( You haven’t abandoned me)
(Refrain 2) + (Verse 3)
Verse 4:
Kulala, kuamka ni kwa neema yako (When I sleep, and wake, it is by your grace )
Ndugu yangu Ulimpa mungu nini wewe ( My brother, what did you give God)
kusudi uwe jinsi ulivyo? (For you to be the way you are?)
Usijivune bure ni neema yake baba. ( Do not boast, it is by grace of God)
(Refrain 2)
Refrain 3:
Baba utukuzwe, Baba uinuliwe (Father be praised, Father be lifed up ) x3
Rafiki yangu, I love you, I love you Father yo ( My friend I love you, Father)+ Refrain 3
Maneno yafungua watu ( Your words releases prisoners) + Refrain 3
Sitasahau uliponitoa , Umenitoa mbali ( I will not forget the distance you’ve brought me) + Refrain 3
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
Chorus:
Liseme, liseme, (Name it)
litaje, litaje (Mention it)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
Yeye ni Baba wa yatima (He’s the father of the fatherless)
Yeye ni mume wa wajane (He’s the husband to the widows)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
(Repeat)
(Chorus)
Yeye ni mponyaji (He is the Healer)
Yeye ni mkarimu (He is generous)
Mlinzi, mfariji wa ajabu (Guardian and the great comforter)
Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza (What is it,That He cannot handle?) x2
(Repat)
Sometimes I really, really wonder why you take me as your son
Sometimes I really, really wonder why you call me by my name
I know you know me, kabla nikujue (Before I knew you)
I know you know me, kabla nizaliwe (Before I was born)
So naomba Baba ,unikomboe nisimame imara (So I pray Father, save me to stand strong)
Naomba Baba unitumie, niwe chombo chako (I pray Father that you would use me as your vessel)
Chorus:
Take me, take me, take me as I am
Take me ah, nitumie Baba (use me Father)
Take me, take me, take me as I am
Take me ah, jinsi upendavyo (the way you will)
Hata kama sifai kuitwa mwana wako (Though I’m not worthy to be called your son)
Give me a chance nitabadilisha mienendo yangu (I shall change my ways)
Usiniache na mwovu shetani Baba (Don’t leave me with the evil Satan)
Ukiniacha nitaangamia ah (If you leave me, I shall be lost)
How many times do I have to suffer, save me the agony my Lord Oh
Badilisha mienendo yangu, iwe kama wewe (Change my ways, to be like yours)
(Chorus)
Bridge:
Take me as I am, njigiliza amakubago nze taata (Teach me your ways Father)
Take me as I am, njigiliza enkolayo nze taata bambi nsaba nsaba ehhh (Teach me your ways Father)
Yeah, ladies and gentlemen, This is a special dedication
To all the young men in Kenya
This is our time, we’ve got to change things here
Onge kutit ko nito, ketuiyen (This is the subject we should agree on (?))
Ile kotinye ng’olyon o (I have a word to say)
Mi chi ne acheng’e (There is someone I’m looking for)
Kainenyi keguure, young man (He’s called Young Man)
Chi chi kotinye nguvu (This person is strong)
Ak kotinye akili neo (And is very intelligent)
Lakini katinye ngolyon o ne to kimwochin (But I have a word to tell him)
Asi mait ak kimas o (So that he may not slip and fall (?))
Refrain:
Fungua macho yako, young man (Open your eyes, young man)
Tumia akili yako, young man (Use your head, young man)
Me ko ngalin chi o, young man (Let no one deceive you, young man)
Me kan kongenin chi o, young man (Let no one use you, young man)
Kingolechech chi o, nam kogoonon (Someone tries to bribe you)
Ing’enyolan tugul o, nataguyan (?)
Anin negit koet kora o, young man (?)
Ngwanyin koneran, young man (?)
Matiyan keng’alin o, young man (Don’t let yourself be deceived, young man)
Ameyan keboisienin, young man (And don’t let yourself be used, young man)
Your life is so precious, young man
And money cannot buy it o, young man
(Refrain)
Kas o weri we, young man (Listen young man)
Le bendi tach toek, young man (When you listen to [politician] talk)
Fungua akili yako, ufikirie (Use your head, and think)
Fungua macho yako, na utazame (Open your eyes and look)
Makiyundos kirugiit, Aki rib komebarkei (?)
Mengo ulie chi, young man (?)
In this world, young man
You cannot survive alone, young man
(Refrain)
No man is an island, young man
Ongibureen kalyet, young man (Let’s maintain peace, young man)
You need me, I need you
They need us, we need them
To coexist, we’ve got to be together
And to survive, we’ve got to stick together
Young man x4
(Refrain)
Chuki sio maendeleo, young man (Hatred is not progress, young man)
Wivu sio maendeleo, young man (Hate is not progress, young man)
Ili Kenya iendelee, young man (For Kenya to progress, young man)
Lazima tushirikiane, young man (We must collaborate, young man)
This is our time, young man
It is never tomorrow, young man
Tuko na uwezo, young man (We have the ability, young man)
Wa kuleta mabadiliko, young man (To bring change, young man)